Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Yaani kisukari kikikuamlia HIV inasubiri mwili wote unanyauka.Dah apumzike kwa amani, kuna kipind aliumwa sukar akakonda sn. Alikua muigizaj mzuri wale wahenga km mnakumbuka marehemu alikua kundi moja na kina bosi masinde, mlawa, mzee korongo,muna love. Alikua anajulikana km mama Kawele na maigizo yao yalikua yanarushwa Itv enzi hizo. Pia kaigiza movie nying nying tu