TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia


Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.

Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.

Ana igiza wapi na anaigiza nini? Pole sana kwa familia yake. Anapofariki binadamu yeyote ni huzuni.
 
Back
Top Bottom