Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Yaani kisukari kikikuamlia HIV inasubiri mwili wote unanyauka.Dah apumzike kwa amani, kuna kipind aliumwa sukar akakonda sn. Alikua muigizaj mzuri wale wahenga km mnakumbuka marehemu alikua kundi moja na kina bosi masinde, mlawa, mzee korongo,muna love. Alikua anajulikana km mama Kawele na maigizo yao yalikua yanarushwa Itv enzi hizo. Pia kaigiza movie nying nying tu

Huyo mdada amekwisha fariki wewe unatuletea "tusivimbe"! Ni wapi ulisikia "alivimba"! Kama alikuvimbia wewe sisi unatuletea ili iweje!You sound stupid and out of context akili ndogo
Bila hii picha nisinge mjua😢Nimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjua
Sisi wengine ni wadau wa Azam mkuu DStv hatuijui
RIP
View attachment 3141179
hiyo sukari ingekuwa na mdomo ingesema maana inasingiziwa mengiYaani kisukari kikikuamlia HIV inasubiri mwili wote unanyauka.
Daddy… 🤷🏼♀️Kati ya watu huwa siwajui ni hawa waliopo kwenye industry...
Daddy… 🤷🏼♀️
Ukimwi ni tatizo kubwa! Hatutashtuka tuMwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.
Ulikuwa huna bando classmateDahhh.....
R.i.P Classmate, umeondoka na urembo wako....😥
Njoo PM tuongee jambo..😋Ulikuwa huna bando classmate