Fafanua mkuuHi case ya LULU nionavyo ni PARI MATERIAL na case ya OSCAR PRITORIOUS na mahakama ingetumia hukumu hiyo kama PARSUASIVE AUTHORITY wangefikia haki
No Makeup No Swag lazima uvae mavazi yanayokuonesha wewe ni innocentMuigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
Are u a lawyer or something .....hakuna kesi inakuwa pari materialHi case ya LULU nionavyo ni PARI MATERIAL na case ya OSCAR PRITORIOUS na mahakama ingetumia hukumu hiyo kama PARSUASIVE AUTHORITY wangefikia haki
Mazingira ya OSCAR kumuua mpenzi wake yanafanana sana na LULU kumuua KANUMBA na hadithi ya kutunga aliyoisimulia mahakama OSCAR na mahakama kutupilia mbali inafanana sana na hadithi ya kutunga ambayo LULU alikuwa anaburudisha mahakama janaFafanua mkuu
Angalau umeelewa nilikuwa ninamaanisha nini na naamini ujumbe umefikaAre u a lawyer or something .....hakuna kesi inakuwa pari material
only statute are said to be in pari materia ie some of sections in civil procedure
code of tz and kenya
Ina maana huyo mama alikubali kijana wake marehemu kudate na mtoto mdogo.?Siku Akifungwa eti unaweza kusikia mama kanumba anasema "" mahakama imetenda haki"
Can you explain?Hi case ya LULU nionavyo ni PARI MATERIAL na case ya OSCAR PRITORIOUS na mahakama ingetumia hukumu hiyo kama PARSUASIVE AUTHORITY wangefikia haki
Labda una ugeni kidogo na Lugha ya kilatini na ulikariri tuu kuwa statute pekee ndio inakuwa PARI MATERIAAre u a lawyer or something .....hakuna kesi inakuwa pari material
only statute are said to be in pari materia ie some of sections in civil procedure
code of tz and kenya
Mbona ameshakuwa huyo binti kwani bado ni mtoto tu??hadi sasa lulu ni jasiri, anapitia mitihani mikubwa katika umri mdogo, ashakomaa kiakili
Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
Ametumia pari materia kuonesha mfanano siyo lazima iwe rasmi.Angalau umeelewa nilikuwa ninamaanisha nini na naamini ujumbe umefika
amekuwa ndio, ila umri wake hauendani na mitihani anayopitia, maana mitihani ya kiwango cha PHDMbona ameshakuwa huyo binti kwani bado ni mtoto tu??
Kimbia tyu mamaMuigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
In adversarial system winner takes all, loosers loose all, in court its not about the innocent and guilty its about whose story convinces the judge to rule in his/her favourKwanini unahisi hii kesi siyo muhimu? Maisha ya mtu yamepotea hapa na hatuwezi kumuhukumu mtu bila kuwa na hatia? The wrath of law will always go to the guilty Parties and not the innocent partes.
Nmecheka hizo mbio