Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi

Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi

hadi sasa lulu ni jasiri, anapitia mitihani mikubwa katika umri mdogo, ashakomaa kiakili
 
Hi case ya LULU nionavyo ni PARI MATERIAL na case ya OSCAR PRITORIOUS na mahakama ingetumia hukumu hiyo kama PARSUASIVE AUTHORITY wangefikia haki
Are u a lawyer or something .....hakuna kesi inakuwa pari material

only statute are said to be in pari materia ie some of sections in civil procedure

code of tz and kenya
 
Fafanua mkuu
Mazingira ya OSCAR kumuua mpenzi wake yanafanana sana na LULU kumuua KANUMBA na hadithi ya kutunga aliyoisimulia mahakama OSCAR na mahakama kutupilia mbali inafanana sana na hadithi ya kutunga ambayo LULU alikuwa anaburudisha mahakama jana
 
Are u a lawyer or something .....hakuna kesi inakuwa pari material

only statute are said to be in pari materia ie some of sections in civil procedure

code of tz and kenya
Angalau umeelewa nilikuwa ninamaanisha nini na naamini ujumbe umefika
 
Siku Akifungwa eti unaweza kusikia mama kanumba anasema "" mahakama imetenda haki"
Ina maana huyo mama alikubali kijana wake marehemu kudate na mtoto mdogo.?
Au ndio kusema ule msemo wa mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio?
LAKINI LIKITOKEA JAMBO ZITO KILA MMOJA ANAANGALIA MASLAHI NA HESHIMA YAKE INAKUAJE?

NAJIULIZA KWANINI MAMA WA MAREHEMU AKUMWAMBIA KIJANA WAKE AOE MTU MWENYE UMRI KARIBA LAKE /KUPELEKA KISHIKA UCHUMBA KWA FAMILIA YA MTUHUMIWA ILI PAWEPO NA NIA KWA PANDE MBILI?

Ni vema mahakamani ikawachunguza vizuri wazazi wa pande mbili, kwani kuna kitu kinaweza saidia maamuzi.
 
Are u a lawyer or something .....hakuna kesi inakuwa pari material

only statute are said to be in pari materia ie some of sections in civil procedure

code of tz and kenya
Labda una ugeni kidogo na Lugha ya kilatini na ulikariri tuu kuwa statute pekee ndio inakuwa PARI MATERIA

Tafuta maana moja moja ya kila neno yaani PARI na MATERIA

PARI MATERIAL = THE SAME SUBJECT MATTER ( inaweza ikawa ststute kama ulivyokariri , case kama nilivyoitumia au kitu kingine chochote chenye mfanano wa aina hiyo)
 
Kwanini unahisi hii kesi siyo muhimu? Maisha ya mtu yamepotea hapa na hatuwezi kumuhukumu mtu bila kuwa na hatia? The wrath of law will always go to the guilty Parties and not the innocent partes.
In adversarial system winner takes all, loosers loose all, in court its not about the innocent and guilty its about whose story convinces the judge to rule in his/her favour
 
Back
Top Bottom