Muigizaji maarufu nchini India,Kareena Kapoor asilimu awa Mwislamu

Hivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.
Labda wewe na family yako tu Ndio mko hivyo
 
Acha uongo, haja hama kwenye hinduism na hana huo mpango

Halafu ndugu zako ni sisi weusi wenzako hata kama tukiwa wakristo au waislam.
Mchina muislam ni ndigu yangu wewe ukiwa kafiri utaendelea kuwa adui tu.
 
Ni nani huyu??

Mbona mgeni??

Kwa nini aanzishiwe uzi kabisa JF kwa ishu zake binafsi??

Ngoja na mimi nianzishe uzi nimenunua li bata mzinga kuubwa kwa ajili ya kuchinja Krismasi ijayo.
Huyo kaanzishiwa uzi simply bcoz ni celebrity, nadhani ndo jukwaa husika hili so km humjui jikalie kimya ndugu.
 
Hat
Hivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.
Hata watu wengi wanapenda kuajiriwa na hawataki kabisa kujua kuhusu kujiajiri lkn wale wachache waliojiajiri ndo wame win na kutusua, , hahahahaaaa, mfano unachoumaaaa km pasiiiiii
 
Labda wewe na family yako tu Ndio mko hivyo
Hebu jaribu kutafakari nilichoandika,ninachojaribu kukisema ni kwamba watu huichukulia vibaya uislamu kabla hata ya kujua yaliyomo ndani ya hiyo dini.
 
Hat

Hata watu wengi wanapenda kuajiriwa na hawataki kabisa kujua kuhusu kujiajiri lkn wale wachache waliojiajiri ndo wame win na kutusua, , hahahahaaaa, mfano unachoumaaaa km pasiiiiii
Umenielewaje kwani?
 
Hat

Hata watu wengi wanapenda kuajiriwa na hawataki kabisa kujua kuhusu kujiajiri lkn wale wachache waliojiajiri ndo wame win na kutusua, , hahahahaaaa, mfano unachoumaaaa km pasiiiiii
Mbona kama hujiamini mkuu?
 
Sasa akislim sisi inatuhusu nini? Inamsaidia nini mwananchi wa same juu anayelima korosho? Au inamsaidia nini mgonjwa aliyelazwa ICU pale muhimbili? Au mmesahau ile kauli ya kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe? Topiki nyingine hazina kichwa wala miguu. vurugu tupu
 
Ni nani huyu??

Mbona mgeni??

Kwa nini aanzishiwe uzi kabisa JF kwa ishu zake binafsi??

Ngoja na mimi nianzishe uzi nimenunua li bata mzinga kuubwa kwa ajili ya kuchinja Krismasi ijayo.

Ni muigizaji maarufu sana wa bollywood.
 
Sasa akislim sisi inatuhusu nini? Inamsaidia nini mwananchi wa same juu anayelima korosho? Au inamsaidia nini mgonjwa aliyelazwa ICU pale muhimbili? Au mmesahau ile kauli ya kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe? Topiki nyingine hazina kichwa wala miguu. vurugu tupu
jukwaa la celebrities huku..

stress za magu pelekeni siasani
 
Qur'an 110
BISMILLA.GIF

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, Maelezo

2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, Maelezo

3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. Maelezo
 
Hivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.

Kwa sababu wenye kukufuru wanauogopa ukweli.

Wale wasiopenda kukufuru wanausoma Uislam na wanaingia makundi kwa makundi kama uonavyo.

Vipi wewe?
 
Back
Top Bottom