Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Miaka mitano, Swala, 1998, lol... guys be serious.
 
kuna movie moja inaitwa ..god tusie great ho...acha kabisaaa Jamaa kaua sana mle....duuhh sema kala chumvi mnoo 52yrs sio mchezo aisee
 
Duuuu napenda movie za salman akiiimba na kukonyeza anafurahisha sana,,walioko jela watafurahiii
 
mbona midogo sana ?? wangempa ata 20 poa tu ...inakuaje auwe mnyama wakati binadam wapo.
 
Yaan binadamu bwana,salman aliua mtu hakupewa hukumu hii ila kaua wanyama anatupwa jela miaka yote hio aiseee
Kwa sisi wenye uzoefu na india kuuwa mtu cyo issue ......ila mnyama inaweza kukucost hata mbwa kumgonga unaweza uwawa ila kwa binadamu cyo kesi sana ....nimeandika kwa uzoefu niliopata huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…