Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Yaan binadamu bwana,salman aliua mtu hakupewa hukumu hii ila kaua wanyama anatupwa jela miaka yote hio aiseee
Mkuu accident inaweza kukuta hata wewe ukagonga bila kukusudia au kosa likawa la mtu aliiegongwa kuuwa wanyama ni kosa lililo wazi kwani mtuhumiwa alichukua bunduki na kuwalenga na kuwauwa hauoni ilo ni kosa la kukusudia.
 
Moja Movie nayo ipenda kupindukia
Filamu nzuri sana, hata hii
HaPa chini nzuri pia.

Ushawahi itazama..?
Jani_Dushman.jpg
 
Back
Top Bottom