Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Hahaha

vipi kunachipukizi ambao wanaweza kufikia walau ubora wa hawa wakongwe(Sunir shetty,Akshey Kumar,salumn,Khan,sunny deo,boby deo,n.k)..?

Lakini Kuna kipindi cha nyuma salumn na khan walikuwa marafiki sana..? (Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..)
kwa ninaowafaham chipukizi ni pamoja na Aryan khan mtoto wa king khan
 
Nilikua njiani kidogoo

Chipukizi ambao ni tishio in

Arjun Kapoor
Sidhart Malhotra
Varun dhawan

Wa kike wamo

Alia Bhat
Disha Patani
Na yupo ameigiza film Pink nimemsahau
nibwengi sana chipukizi japo akina Sidhart wameanza mda kidogo
 
Back
Top Bottom