Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Shahid kapoor katika filamu ya "Jab we meet" aliyocheza na kareen kapoor nilimkubali sana.[emoji1] [emoji1] polee
Shaahid Kapor sio new comer tena!!!
Hao niliokutajia ndo wa miaka hii hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shahid kapoor katika filamu ya "Jab we meet" aliyocheza na kareen kapoor nilimkubali sana.[emoji1] [emoji1] polee
Shaahid Kapor sio new comer tena!!!
Hao niliokutajia ndo wa miaka hii hapa
Vibaya mnoooo!halafu kalikuwaga kazuriiiiii kweli kashahidShahid kapoor katika filamu ya "Jab we meet" aliyocheza na kareen kapoor nilimkubali sana.
Sio marafiki wa kupika na kupakua km mwanzo tena japo wanaelewanaWapo vizuri tu mbona, wameshakua watu wazima wanaheshimiana vizuri tu, Hata SRK na Aamir pia wanelewana vizuri tu siku hizi
Maneno ya mtaani au udaku wanadai Jamaa Ajay devgan alikuwa anam'maind king khan kuhusu ukaribu wake na kajol.Hapana ila najua watu wengi tulihis Kajol na SRK ni couple!
Mimi mwenyewe nilijua make na mume
Kipindi hicho kweli alikuwa mdogo na kasura kake.Vibaya mnoooo!halafu kalikuwaga kazuriiiiii kweli kashahid
Binadamu bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Maneno ya mtaani au udaku wanadai Jamaa Ajay devgan alikuwa anam'maind king khan kuhusu akuribu wake na kajol.View attachment 736540
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kareena yupo vzr na ni kazuriKipindi hicho kweli alikuwa mdogo na kasura kake.
Hahaha kwa hiyo alikuwa shahid anavutia sana kwa uwanda wa mahaba...?
Mimi kareen kapoor yupo vyema..
Mkuu,kwa hiyo wote hao saizi ni amani tu.Wapo vizuri tu mbona, wameshakua watu wazima wanaheshimiana vizuri tu, Hata SRK na Aamir pia wanelewana vizuri tu siku hizi
Nilikuwa nikiona filamu yumo huyu dada lazima nijitahid niitazame.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kareena yupo vzr na ni kazuri
Daah wabongo Bwana, kwani haiwezi kupita thread bila kumfikiria/kumtaja mkulu kawakosea nini!?Angekuwa huku kwetu kama angemfurahisha Mkulu,kesho yake tungesikia "nimeamua kumuachia muigizaji Salman Khan"
Kwa india kama ukigonga ng'ombe unaenda jela miaka mingi sana, au faini kubwa sana, lakini ukigonga binadamu ni faini ndogo tu, inawezekana ni miungu yao.Yaan binadamu bwana,salman aliua mtu hakupewa hukumu hii ila kaua wanyama anatupwa jela miaka yote hio aiseee
Shahid kapoor katika filamu ya "Jab we meet" aliyocheza na kareen kapoor nilimkubali sana.
Nilikuwa nikiona filamu yumo huyu dada lazima nijitahid niitazame.
Aiseee kwanini walikuwa wanamuita hivyo..?wanamwita Bebo
Yap yap hii kitu ni moto.Icho kitu yani ni katika all time Best achana nacho kabisa
Aiseee kwanini walikuwa wanamuita hivyo..?
Karrena kuna movie inaitwa Heroine yuko Arjun Rampal na Kangana Renault nzuriiiiMkuu,kwa hiyo wote hao saizi ni amani tu.
Amir khan huyu jamaa yupo vyema sana.
Nilikuwa nikiona filamu yumo huyu dada lazima nijitahid niitazame.
Ni nzuri mnoo first time naangalia nilitoa mchozi ujue![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yap yap hii kitu ni moto.
Lakini Kuna filamu ya Akshey Kumar na Sunil shetty na shilpa shetty Nadhani inaitwa "Dhadkan" sidhani kama nimepatia spelling zake lakini ni moja ya filamu bora kabisa kwangu.
Nipo my dearDada upo?umeadimika sana