Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Chorichori chupkechupke!!!!Salumn khan play boy Mwema.

Huyu bwana anamajanga mengi sjui ni utukutu au kunamchanganyiko wa vitu anatumia.Warembo wengi kawapitia sana kiufupi alitembea na dada zetu wengi.

Kunakipindi cha nyuma yeye salumn khan na sharukh khan "king khan" walikuwa wanaushindani sana katika filamu kama ulivyo kuwa inasadikika hapa Tanzania kipindi cha steven kanumba na Ray kigosi.

Wenzake wengi wa kizazi chake walishaoa na kupata watoto ila huyu bwana sjui kama kashaoa,kizazi chao hawa watu wamefanya makubwa katika filamu india.

Kama kweli katenda makosa ambayo ni kinyume cha sheria basi hakuna namna akutumikie kifungo- Jela sio kuzuri.

Tunakutakia maisha mapya katika makazi mapya Mr.salumn.
 
Chorichori chupkechupke!!!!Salumn khan play boy Mwema.

Huyu bwana anamajanga mengi sjui ni utukutu au kunamchanganyiko wa vitu anatumia.Warembo wengi kawapitia sana kiufupi alitembea na dada zetu wengi.

Kunakipindi cha nyuma yeye salumn khan na sharukh khan "king khan" walikuwa wanaushindani sana katika filamu kama ulivyo kuwa inasadikika hapa Tanzania kipindi cha steven kanumba na Ray kigosi.

Wenzake wengi wa kizazi chake walishoa na kupata watoto ila huyu bwana sjui kama kashaoa,kizazi chao hawa watu wamefanya makubwa katika filamu india.

Kama kweli katenda makosa ambayo ni kinyume cha sheria basi hakuna namna akutumikie kifungo- Jela sio kuzuri.

Tunakutakia maisha mapya katika makazi mapya Mr.salumn.
Only woman Salmaana had ever truly loved ni Aishwarya Rai(mke wa Abisheki Batchan)sidhani km ataoa tena
 
Na umri wake unazidi kusonga tu...Rai ni mrembo kweli kweli.

Vipi huwa unapenda sana Bollywood movie's..?
 
Uhusiano wa Salmaan na Aishwarya ndugu wa kikeni hawakufurahia nao japo mdada alimpenda ila kingine Salmaan alikua na wivu mpk kumpiga na kumdhalilisha kimaneno
 
100% nyumbani kwangu ni Bollywood Tu!
Mhh safi sana..

Kidogo mimi nimekuwa mvivu sasa wa kufatilia tofauti na miaka ya nyuma na toka 2011 miaka saba natazama kwa uchache mno.

Ule uhasama wa salumn na king khan unaufahamu vyema..?

Wewe muigizaji gani unamkubali Bollywood..?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nawakubali almost wakongwe wotee ukinambia kuchagua ntakufaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Ntakupa sababu ya ugomvi wao japo Rai nae alichangia pia maana Salmaan alihis King khan na Rai wanatoka
 
Hahaha

vipi kunachipukizi ambao wanaweza kufikia walau ubora wa hawa wakongwe(Sunir shetty,Akshey Kumar,salumn,Khan,sunny deo,boby deo,n.k)..?

Lakini Kuna kipindi cha nyuma salumn na khan walikuwa marafiki sana..? (Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..)
 
Nilikua njiani kidogoo

Chipukizi ambao ni tishio in

Arjun Kapoor
Sidhart Malhotra
Varun dhawan

Wa kike wamo

Alia Bhat
Disha Patani
Na yupo ameigiza film Pink nimemsahau
 
Hahaha

vipi kunachipukizi ambao wanaweza kufikia walau ubora wa hawa wakongwe(Sunir shetty,Akshey Kumar,salumn,Khan,sunny deo,boby deo,n.k)..?

Lakini Kuna kipindi cha nyuma salumn na khan walikuwa marafiki sana..? (Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..)
Ugomvi wao ulianza kama utani vile kwenye birthday ya Katrina Kaif ambae ni ex girlfriend wa Salmaan kwa sasa ambapo SRK alimuongelea Ex girlfriend wake Salmaan Aishwarya Rai Salmaan akachukia wakaanza kutupiana maneno mpk kufikia kupondana kuhusu their reality show ambazo they hosting back then

Salmaan Claimed kwamba show yake ndo inapendwa kuliko ya SRK
Waligombana haswaa since then ule urafiki wao haswaa ukaisha na vyombo vya habari vikakuza beef lao
 
Mhh safi sana..

Kidogo mimi nimekuwa mvivu sasa wa kufatilia tofauti na miaka ya nyuma na toka 2011 miaka saba natazama kwa uchache mno.

Ule uhasama wa salumn na king khan unaufahamu vyema..?

Wewe muigizaji gani unamkubali Bollywood..?

kumbe mupo, nishakutafuteni sana mie. Tungetafuta threat yetu tukajiachia na mambo ya Bollywood.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nawakubali almost wakongwe wotee ukinambia kuchagua ntakufaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Ntakupa sababu ya ugomvi wao japo Rai nae alichangia pia maana Salmaan alihis King khan na Rai wanatoka

Vivek alimpindua bana.
 
Back
Top Bottom