Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

Dah!!! poleni mlioguswa na msiba huu. Ama hakika kila nafsi itaonja mauti.
 
Kuna filamu moja aliigiza amefariki,kweli yametimia R.I.P mpendwa
 
ni uwongo hajafariki amekanusha kule twiter na Insta wabongo bana kwa uzushi mnapenda sana kuua watu

Tuletee huo ushahidi wa twiter na insta alikokanusha kwamba hajafa. Hadi TV (EATV) wamelizungumzia hilo. Tupe huo ukanusho mkuu.
 
Hapa atapata sifa zote nzuri na umaarufu zaid.... Sisi binadam wanafiki xana
 
Nakuuliza wewe mtetezi wa machoko

mimi si mtetezi je wanaoigiza majambazi ni majambazi? wanaogiza mashetani wanapaa ni mashetani kweli? wanaogiza wachawi ni wachawi kweli? mwisho wa movie za kinigeria lazima uwa zinaonyesha jambo baya linaisha kwa ubaya na watu wanajifunza uwa zinaelimisha.Uwe unaangalia movie mpaka mwisho sio unaona mtu ameigiza jambazi ukajua jambazi mwisho wake uwa jambazi amefunwa,au kuuawa au ametubu.

Movie zinaonyesha mambo ambayo yapo kwenye jamii yetu ili watu wajifunze waache tabia mbaya
 
R.I.P , Sikuuga jina ake, alikuwa naigiasehemu ambazo si nzuri mara nyingi. jamani hapo hospitali ndugu zake wameonyeshwa wamelose hope.
 
Back
Top Bottom