Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

huyu jamaa anajua kuigiza,niliacha kufuatilia movies zake baada ya kuona movie moja anaigiza akiliwa tigo,kuanzia hapo sikutaka kujua kuhusu huyu jamaa.

R.I.P

Vitu vingne ukiigiza utajikuta unavifanya kwenye life la kawaida
 
btw jamaa yupo hai umekurupuka

Hiyo account ya twita iliyokanusha ni fake .....kuna source za mitandao maarufu ya Nigeria na waigizaji maarufu wamedhibitisha kufariki kwa muigizaji huyu .............

RIP Muna .........
 
aisee kipengele ya kuigiza kuliwa tigo hata kama ni kuigiza nisamehe tu,huwa ikitokea kitu kama hicho sifuatilii tena movie

Same to me kwa kweli!!hata ikishawekwa scene wanaigiza kussagana na kusigina nachefuka kabisa,bora niache kuangalia kwani hela ni yangu na ushamba ni wangu!By the Way RIP!
 
Nollywood Tweets (@nollywoodtweets) January 18, 2015

We stand by our report that Nollywood actor, MUNA OBIEKWE has passed away, Furthermore, we state that @MunaObiekwe is a fake account
 
According to Linda Ikeji, Muna needed money for his health problems but instead of going public to raise money, he told friends he was planning a stage play to raise money but died before he could do it.
 
2042592_ooambassadorbouqieblueblood006oapeventmc461890_jpeg_jpeg900f41ceea816c9950ed96c75751b35b


Binafsi nimeumia sana hii picha imepigwa alivyofikishwa hospital,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu sasa ila hakuwa ametangaza.


2042194_screenshot20150118at8_04_38pm_pngee9f2b6b7c4e63d10214bb2ff7cf5dd7



2041841_munaobiekwe2_jpeg_jpeg083d12f52bf1672ca79d4a6dfe3c4a1c



2041843_munaobiekwe_png2_jpeg72f9dcb0c7dda6f71983b189066a97bd



Kwa wale wana Jamiiforums mnaofatilia movie za Nigeria lazima mtakuwa mnamfahamu,nimeumia sana ila ndio hivyo mipango ya mungu,apumzike mahali pema peponi.

Hili jambo limezua utata mkubwa sana huko insta na tweeter. mara kafa, mara hajafa
 
Daaaah R.I.p Muna.......ila jamaa anaumwa figo halafu anakunywa pombe kali.
 
kama hajafiriki nipigwe ban ya maisha,wabongo wabishi sana umewajaa

Sio watanzania tuu, hata huko nigeria kuna wanaosema amefariki, kuna wanaosema hajafariki, na ile tweet iliyopostiwa na acc yake Muna ndio inayosababisha yote haya.
 
Back
Top Bottom