Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
btw jamaa yupo hai umekurupuka
huyu jamaa anajua kuigiza,niliacha kufuatilia movies zake baada ya kuona movie moja anaigiza akiliwa tigo,kuanzia hapo sikutaka kujua kuhusu huyu jamaa.
R.I.P
ni uwongo hajafariki amekanusha kule twiter na Insta wabongo bana kwa uzushi mnapenda sana kuua watu
Oooh jamaniii,yani kafa?
btw jamaa yupo hai umekurupuka
aisee kipengele ya kuigiza kuliwa tigo hata kama ni kuigiza nisamehe tu,huwa ikitokea kitu kama hicho sifuatilii tena movie
![]()
Binafsi nimeumia sana hii picha imepigwa alivyofikishwa hospital,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu sasa ila hakuwa ametangaza.
![]()
![]()
![]()
Kwa wale wana Jamiiforums mnaofatilia movie za Nigeria lazima mtakuwa mnamfahamu,nimeumia sana ila ndio hivyo mipango ya mungu,apumzike mahali pema peponi.
Hili jambo limezua utata mkubwa sana huko insta na tweeter. mara kafa, mara hajafa
Miss you much afu hio avatar safi sana aiseee sijui na mimi nibadilishe😛
kama hajafiriki nipigwe ban ya maisha,wabongo wabishi sana umewajaa