Muigizaji Monalisa ashinda tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika

pengine shemeji zao ndio waandaaji thats why wanashina, kimsingi sijaona sababu haswabya wao kushinda

Na pengine mamlaka hisika zituambie nani muandaaji wa tuzo hizi isijekua ni ule mchezo wa kutanua goli ili ufunge kirahisi
 
Lugha bado ni tatizo
 
Kuna baadhi ya watu wanapata umaarufu kimataifa kwa opepo wa Maraisi wetu Nyerere na Hapo kazi tuu. Watu wa nje wakijua umetoka taifa la hao watu basi unapata kura. Sijui kama kuna film yoyote ya huyu dada inaweza kuwashinda magwiji wa Nigeria. Huyu dada alikuwa anaigiza kitambio kidogo akiwa na mama yake kwenye vipindi vya mwanzao kabisa ITV ilivyoanza sijui ni mambo hayo sikumbuki ilishakuwa kitambo sana ila baada ya hapo sijui kama badoo ni msanii ndio namsikia leo amepata tuzo.
 
Au hyo kampuni ilotoa tuzo ni ya kwao ila inafanya kazi huko ghana??
 
Us
Usitegemee bongo muvi wenzake kumpongeza wale watu wana wivu sana wakiongozwa na kile kijamaa kilevi levi kiathirika...
 
Lakini hamjatuambia walishindanishwa na watu gani hasa?! Ina maana Kina Majjid na wenzake wa Ghana wameshindwa na Ray?!!!!
 
Hongera Mona
Kujiheshimu kwake kumempa tuzo
Mnaojidanganya mnacheza movie kama za Hollywood heshima zero
Mona Lisa anacheza uhalisia wa maisha ya MTz
 
Tuzo hz nazo. N tuzo
Hapo makampuny ndo
Yanafaidika tu
 
Toto Dike
Jack Appiah
Omotola Jalade
Mercy Johnson
Patience Ozokwor
Ngozi Ezewonu
Stella Damasius
Chioma Chukwuka Akipom
etc
May be, Tanzanians in Ghana awards
 
Toto Dike
Jack Appiah
Omotola Jalade
Mercy Johnson
Patience Ozokwor
Ngozi Ezewonu
Stella Damasius
Chioma Chukwuka Akipom
etc
May be, Tanzanians in Ghana awards
Patience huyu mama ni noma sana sijui kwa nn mpaka sasa hajaenda USA
 
Hongera Mona
Kujiheshimu kwake kumempa tuzo
Mnaojidanganya mnacheza movie kama za Hollywood heshima zero
Mona Lisa anacheza uhalisia wa maisha ya MTz
Hongera zake, hakika anastahili pongezi kwa kuipeperusha vyema bendera yetu.

Ajabu ni kwamba kuna watu hapa wanambeza, ila angekuwa amefanya jambo la aibu huu uzi ungekuwa mbali sasa hivi.

Jamani watanzania wenzangu tujifunze kutiana moyo, kufarijiana na kupongezana kwa mafanikio tunayoyapata hata kama ni madogo kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…