Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
H h ahah sasa hiyo ni tuzo au mkebe
Lugha bado ni tatizoNikijiuliza mara ya mwisho kumuona ray kigosi kwenye movie hata sipati picha..
Wala hata sijui lini labda mm sio mfuatiliaji wa bongo movies..
Nasikia ray kigosi ni male best actor kwa Africa
Monalisa nae ni BEST ACTRESS..
Nmejiuliza sana hizo tuzo anatoa nan huko Ghana..!!??
Naomben mwongozo wadau nisijekuitwa mchochezi bure.. ila kiukweli namuonaga ray kigos yupo busy na mwanae kwenye mitandao na sio movies..
Kuhusu monalisa mmhhhh hapana sijawahi kuona movies anazo act m not really sure..
All in all... congraturations for u two. Tanzania tuko proud View attachment 745153
Usitegemee bongo muvi wenzake kumpongeza wale watu wana wivu sana wakiongozwa na kile kijamaa kilevi levi kiathirika...Best Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika
Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Accra huko nchini Ghana
View attachment 745061
Lakini hamjatuambia walishindanishwa na watu gani hasa?! Ina maana Kina Majjid na wenzake wa Ghana wameshindwa na Ray?!!!!Hongera sana kwake, kwa upande wa muigizaji bora wa kiume barani Afrika kwa mwaka 2017 ameshinda Ray huku kipengele cha mpiga picha bora barani Afrika(2017) ameshinda mtanzania Moise Hussein. Mzee Majuto pia alishiriki ila hakubahatika kupata tuzo.
Tuzo hizo zilizinduliwa mwaka jana mwezi wa tisa nchini Ghana ambapo kulikua na zoezi la upigaji kura. Hivyo kushinda kwao ni kutokana na kura.
Kwa upande wa femaleLakini hamjatuambia walishindanishwa na watu gani hasa?! Ina maana Kina Majjid na wenzake wa Ghana wameshindwa na Ray?!!!!
No you gotta be kidding!!! Hao ni super Stars si Afrika tu hata America wanakimbiza..!!!Kwa upande wa female
Kulikuwa na Jackie Apiah,
Lupita Nyongo na wengineo
Mention the participants then..No you gotta be kidding!!! Hao ni super Stars si Afrika tu hata America wanakimbiza..!!!
Patience huyu mama ni noma sana sijui kwa nn mpaka sasa hajaenda USAToto Dike
Jack Appiah
Omotola Jalade
Mercy Johnson
Patience Ozokwor
Ngozi Ezewonu
Stella Damasius
Chioma Chukwuka Akipom
etc
May be, Tanzanians in Ghana awards
Yuko vizuri sana, ila movies zake lazima ujiandae kumchukia tu kwa uhusika wakePatience huyu mama ni noma sana sijui kwa nn mpaka sasa hajaenda USA
Hongera zake, hakika anastahili pongezi kwa kuipeperusha vyema bendera yetu.Hongera Mona
Kujiheshimu kwake kumempa tuzo
Mnaojidanganya mnacheza movie kama za Hollywood heshima zero
Mona Lisa anacheza uhalisia wa maisha ya MTz
Ngoja tukajinyonge tu kwakweli ..Hongera monalisa wenye wivu wajinyonge
Hahahahahaha Monalisa kampita Lupita Nyongo hahahaha wonder shall ends.Kwa upande wa female
Kulikuwa na Jackie Apiah,
Lupita Nyongo na wengineo