Muigizaji Na Mjasiliamali Rose Ndauka Afuta POSTS Zake Zote Kwenye Katika Ukurasa Wake Instagram

Muigizaji Na Mjasiliamali Rose Ndauka Afuta POSTS Zake Zote Kwenye Katika Ukurasa Wake Instagram

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Wakuu kama heading inavyojieleza.
Je nini kimemsibu?!
Screenshot_20251028-022213.jpg
 
Yawezekana ikawa ni issue ya Niffer,wahuni washamuuzia uwoga
Followers 6.6M

Kesho anashikwa anaburuzwa anapasuliwa kichwa na kufumuliwa macho na pua na majamaa yalishika mitutu hakuna anaeingilia watu wanaangalia wakijua anaigiza cinema mpya movie inayokuja wasije wakaharibu scene kumbe issue ni serious, ndicho kilichofanya iwe hivyo

Uoga bei nafuu
 
Wakuu kama heading inavyojieleza.
Je nini kimemsibu?!
View attachment 3494902
Ninampongeza Rose Ndauka kwa hatua hii. Ukiishi kwa ajili ya kupata sifa kuwa eti wewe "unajitambua" kwa vile ni msanii hushabikii CCM, haikuongezei kipato wala umaarufu. Ukipata shida wanaobaki kuhangaika ni ndugu zako na wanao.

Uamuzi mzuri huu kwa Rose
 
Kuna msafara umepita hapa road ya buhongwa igoma ni sirens za kutosha naona wanatia uwoga watu. Pia najua wanakifanya wasichokipenda sema ni Maisha yamewapeleka hapo walipo. Yaani Maisha ndio yamewaamria cha kufanya. Sasa ivi wangekuwa wamelala na wapendwa wao na watt wanacheza nao. Sema haya maisha bana sema sio Kama jamaa anavyotishia eti huko nje kugumu
 
Back
Top Bottom