Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sasa hv kama una chcht cha kutia mashaka inabidi ujiwahi labla wauaji hawajakuwahiAu audio ya Muliro ilee ..mhh mhhhh. Itakuwa imemtisha ile. Nawaza kijasusi Zaid😁
Sasa hv kama una chcht cha kutia mashaka inabidi ujiwahi labla wauaji hawajakuwahiAu audio ya Muliro ilee ..mhh mhhhh. Itakuwa imemtisha ile. Nawaza kijasusi Zaid😁
device zangu zote nimeziweke kwenye mode ya one touch zina erase na ku format kila kitu.. 😅😅Sasa hv kama una chcht cha kutia mashaka inabidi ujiwahi labla wauaji hawajakuwahi
Ila watunzeni wake zenu wasiwe omba omba aseWapare tunajitambua
Ni huyo unayemjua tuuIla watunzeni wake zenu wasiwe omba omba ase
Hamjui kununulia wake zenu nguo wapare wabinafsi nimekaa nao sana pale kisangara, ugweni hatariNi huyo unayemjua tuu
Kashachelewa kama alihamasisha maandamano hata kesho akienda kutiki bado watamkamata tuNinampongeza Rose Ndauka kwa hatua hii. Ukiishi kwa ajili ya kupata sifa kuwa eti wewe "unajitambua" kwa vile ni msanii hushabikii CCM, haikuongezei kipato wala umaarufu. Ukipata shida wanaobaki kuhangaika ni ndugu zako na wanao.
Uamuzi mzuri huu kwa Rose
Nmewaonea hadi huruma...wamepita igoma hapa saa moja wkt wa mvua...imewaishia yote..Kuna msafara umepita hapa road ya buhongwa igoma ni sirens za kutosha naona wanatia uwoga watu. Pia najua wanakifanya wasichokipenda sema ni Maisha yamewapeleka hapo walipo. Yaani Maisha ndio yamewaamria cha kufanya. Sasa ivi wangekuwa wamelala na wapendwa wao na watt wanacheza nao. Sema haya maisha bana sema sio Kama jamaa anavyotishia eti huko nje kugumu
Nilikutana nao mabatini hawa😂Nmewaonea hadi huruma...wamepita igoma hapa saa moja wkt wa mvua...imewaishia yote..
Wamepita huko muda ganiNmewaonea hadi huruma...wamepita igoma hapa saa moja wkt wa mvua...imewaishia yote..
Wkt mfua inanyesh..kama saa moja ivWamepita huko muda gani
Walipita buhongwa saa 3 iviWkt mfua inanyesh..kama saa moja iv