Muigizaji Na Mjasiliamali Rose Ndauka Afuta POSTS Zake Zote Kwenye Katika Ukurasa Wake Instagram

Kwani akufuta ni lazima kuwe na kilichomsibu? Je kama kaamua tu? Mnahangaika sana na maisha na maamuzi ya watu wengine
 
Alifikiri tarehe 29 mbali sasa kaona imefika katafuta njia yake ya kukimbia
 
Reactions: Tui
Kashachelewa kama alihamasisha maandamano hata kesho akienda kutiki bado watamkamata tu
 
Nmewaonea hadi huruma...wamepita igoma hapa saa moja wkt wa mvua...imewaishia yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…