Namaanisha sio mkali wa kuigiza kama baba yake Vinod huyo mwanawe anaitwa Akshay Khanna yupo kwenye movie ya Dishoom na Section 375
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna ndugu au sio Miss au hautoki notable family hutoboii!!
Yaani ni walewale tu kwa sasa vibinti vinavyochupika vipo;
Sara Ali Khan
Jhanvi Kapoor
Ananya Pandey
Alia Bhatt
Hao wote baba zao mastaa wakubwa
Na naskia Kjo anataka amlunch Aryan Khan na Khushi Kapoor
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wabinafsi mnoo wahindi yaani akina Deepika,Anushka,Priyanka na Kangna wametumika mnoo mpk wamefikia kutusua...!!!kuna siku Kangna Renault aliwahi mchamba Karan Johar kwenye Kipindi cha Koffee with Karan ,alimuuliza anaongeleaje kuhusu nepotism, akajibu,"wewe Karan ndo bingwa wa nepotism "ilikua tafrani haswaaa,..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu hawachelewi kulana kimasihara[emoji13][emoji23]🤣
Lakini inategemea movie unatizama na nani, mie huwa sijachuguiiwe ya kihindi,kichina,kikorea,kijapan, wathailand, wasiwe bongo movie tu, ili mradi iwe iwe ya action,comedy hata animation ila haya mastori tupu mwanzo mwisho si mpenzi.
Lakini pia zile story za mvuto za MAPENZI au action movies hakuna tena...wameiga uzungu mwingi..story hazieleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
RiP legend
Ila Bollywood huwa inanifikirisha sana
Ukiwa na haya majina mawili
Kapoor
Khan
Ni rahisi kutusua kule
Mengine ni
Shetty
Kumar
Bachanan
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisaa!wahindi kwa sasa hawana movie mtu ambae anajitahidi kidogo kwa sasa kidogo Ni Salmaan Khan na Hrithik Roshan
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa uko vizuriNimekugundua wewe ni mtu wa action films
sio Rahisi kutoboa Bollywood industry ina ugumu sana Producers wanawala sana Heroine (wadada) ili wawa Cast kwenye moviesRiP legend
Ila Bollywood huwa inanifikirisha sana
Ukiwa na haya majina mawili
Kapoor
Khan
Ni rahisi kutusua kule
Mengine ni
Shetty
Kumar
Bachanan
Sent using Jamii Forums mobile app
Karan Johar anajua ila Sex Orientation yake inakera sana fans wakeTena wabinafsi mnoo wahindi yaani akina Deepika,Anushka,Priyanka na Kangna wametumika mnoo mpk wamefikia kutusua...!!!kuna siku Kangna Renault aliwahi mchamba Karan Johar kwenye Kipindi cha Koffee with Karan ,alimuuliza anaongeleaje kuhusu nepotism, akajibu,"wewe Karan ndo bingwa wa nepotism "ilikua tafrani haswaaa,..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa uko vizuri
Irfan khan ana movie inaitwa Tarvaar ile ni Mystery Thriller hatari na nusu yuko na Tabu
Sent using Jamii Forums mobile app
sio Rahisi kutoboa Bollywood industry ina ugumu sana Producers wanawala sana Heroine (wadada) ili wawa Cast kwenye movies
Star mmoja tu ambaye alidai hakuwa na Godgather Bollywood na alitoboa ni Preity Zinta wengine uwe na Godfather, ukoo wenu, au Upanue UPAJA Mkwaju WAJA
Sent using Jamii Forums mobile app
Karan Johar anajua ila Sex Orientation yake inakera sana fans wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Mimi mwenyewe hapo ndo anaponikwaza mnoo na ana mapacha wa surrogate yule mbaba!Karan Johar anajua ila Sex Orientation yake inakera sana fans wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kaisogeza sana company aliachiwa na baba yake, Japo simkubali filamu zake anazozi direct mwenyewe bali as producer nimemvulia kofia.
Yule kaliwa sana ndo maana wahindi hawakutaka kumuoa wahindi ukitumika sana hakuna anaekubali uolewe naye ndo maana kaenda kuolewa na yule mzungu!huyo Zinta yeye hakupanua?
Jamaa uko vizuri
Irfan khan ana movie inaitwa Tarvaar ile ni Mystery Thriller hatari na nusu yuko na Tabu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]hata love story za kueleweka pia naangalia Salmaa ana zile series za Dabbang na Tiger Zindahi wacha wewee!Nimekugundua wewe ni mtu wa action films
Yaani kama kuna watu self made hao uliowataja SRK,Irfan,Nawaz NA Manoj ndo the real definition of Selfmade maana walikotokea daahh!!!Kuna dogo anaitwa Sidhart Malhotra yuko poa ila hatoki notable family daahh!anabaniwa ile ile yaani!Wazee wamejilia sana mizigo, Hata bongo movie hupati nafasi kama hujaliwa akina Salma Heyek, JLO wamepitia hayo na wao huko West kwahiyo mambo ndivyo yalivo, sio wao tu hata wanaume ndio wamestragle Zaidi, Shahrukh Khan, Kay Kay Menon, Irfan Khan, Nawaz, Monoj Bajpaee wametoka mbali sana ikipitia historia zao
Yule Kangna ni mshamba tu, mtu wa ovyo kabisa