Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Hahahahahah!!!jamaa unampenda Akshay Khanna minamuoga wa kawaida jitu ambalo halijuagi kuigiza ni Abhishek Bacchan linabebwa tu na jina la wazazi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mkuu ulichoongea kweli kabisa

Huwa najiuliza inakuawaje kila muigizaji wa India jina ni Khan au Kapoor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha yaani ni Khan na Kapoor au Shetty au Sharma wakisogea kidogo inakuwa Kumar then Kuna bachachan na devgan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata namesake nayo Ina mata

Ukichagiza na hayo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha yaani ni Khan na Kapoor au Shetty au Sharma wakisogea kidogo inakuwa Kumar then Kuna bachachan na devgan

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]kule kujuana tu watoto wa kike wanatumika mnoo!ndo maana wengine wameamua kua kwenye small screen TV shows hizi maana Bollywood INA wenyewe jitu kama Abhishek halijui kuigiza lakini anapewa platform kushinda Sidh Malhotra kwa kua hana mtu
Au Suraj Pancholi hajui kabisaa yaani lakini ndo anapewa scenes acheze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ni network yao..mtoto akikua anarithishwa uigizaji,,,hata kama hana kipaji kikubwa mradi a natumia jina FULANI LA UKOO,,,,jina litambeba,,,kuna wahindi wana vipaji vya kuimba na kuigiza lakini hawapewi nafasi ya kufanya hivyo
Sure mkuu ulichoongea kweli kabisa

Huwa najiuliza inakuawaje kila muigizaji wa India jina ni Khan au Kapoor

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Irfan ilimchukua miaka 15 mpaka kupata proper role
Nawaz ilimchukua miaka 14 mpaka alipopata proper role ya film
 

kuna kijana mmoja kwa sasa anamiliki kampuni ya Maddok films, dah jamaa yupo vizuri sana
 
Infact abishek hajui kabisa kuigiza jina linambeba

Sent using Jamii Forums mobile app

Tafazalini mpeni heshima yake Abhishek, alifail as a star, lakini as an actor jamaa amejitahidi. huwez mfananaisha kabisa na hivi vitakataka viliopo saivi.

Nazisubiri kwwa ham filamu zake zinazofuata The Big Bull na Bob Biswas.
 

huyo Suraj Pancholi ni ovyo kabisa
 
Ki ukweli hata mimi Abhishek namuona kama jina la ukoo ndilo linalombeba zaidi na sio umahiri wake mwenyewe.
Kwenye mfululizo wa movie za DHOOM ile nafasi alioigiza alipwaya vibaya sana naamini ile nafasi laiti ingelipata muigizaji mahiri angefunika sana.
Lakini msela alifunikwa kote kote,kule kwa Aamir Khan na kule kwa Rhitik Roshan.
Jamaa ni muigizaji wa kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alafu mungu fundi sana nshawah opoa dem kwa kuimba wimbo wa kihindi, koi mere dilda haal najane raba, ila mtu ninaye mkubali ajey devgan hasa ile movie aliuwa mtu akaenda mfukia kituo cha polisi mwisho polisi walipata ushahid wa mtu kuuwawa ila hawajui wap kazikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…