Ni yule aliyeimba na daimond wimbo wa nitarejea?Apumzike kwa Amani. Pole kwa familia yake.. huyo dada aliteseka mnooo 🥹🥹
Zile idadi za operation aisee 🙌
Bongo movieCarina ndio nani uko daslam
Ongeza nyama nyama Mkuu tujue chanzoMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Ooh poleni sana kichupa kingine tena kinaenda liwa na siafu asee😭
Ndo yule video queen kwenye wimbo wa Bob junior oyoyo...??