Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Na bado alichokula au kunywa kilikuwa kinapitiliza tuðŸ˜Kwa kweli operesheni zaidi ya 40 kwenye tumbo moja la binadamu si mchezo kwa kweli kaupambania sana uhai wake 😢
Na bado alichokula au kunywa kilikuwa kinapitiliza tuðŸ˜Kwa kweli operesheni zaidi ya 40 kwenye tumbo moja la binadamu si mchezo kwa kweli kaupambania sana uhai wake 😢
Haya maisha ni fumbo sote hatujui kesho yetu… 😥Hakika,kateseka sana aisee...
Nyie maisha haya nyie
Hakika,kristo aturehemu...dahHaya maisha ni fumbo sote hatujui kesho yetu… 😥
Mı mpaka kuna siku niliwahi kukufulu Mungu nisamehe yale maumivu yake mi nisingeweza ningedai wanichome sindano ya sumu haraka 😢Ameteseka huyo mdada, nahisi hata yeye alichoka… 😥🥹
HakikaDuuh, Apumzike kwa amani.
Aliumwa nini
USSR
Amejitahidi kuwapa tumaini wanaomuuguza, mana angekua amejikatia tamaa nuru isingekuwepo usoni mwake..!!Sura yake ukiona na aliyokuwa anayopitia ni vitu viwili tofauti kabisa.
Nilikua najiulizaga mbona huu ugonjwa wake kama kuna mkono wa mtu nahis zaid ya op 5 au 7Mume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Kama kifo ni kupumzika ni bora kwa huyu dada ameenda.Na bado alichokula au kunywa kulikuwa kinapitiliza tuðŸ˜
Amen 😥Hakika,kristo aturehemu...dah
Kweli bora kufa ..Unateseka mpaka unadhalilika hapa duniani.Ameteseka sana bora alivyopumzika, roho yake ilale pema..!! 😥
Hakika kwa alichopitia ni zaidi ya mateso..!! 🥹Mı mpaka kuna siku niliwahi kukufulu Mungu nisamehe yale maumivu yake mi nisingeweza ningedai wanichome sindano ya sumu haraka 😢
We mtu alikatwa utumbo mpaka akabaki na kipande kidogo cha utumbo jinsi operesheni zilivyochukua vitu muhimu tumboni kwake 😢Kweli bora kufa ..Unateseka mpaka unadhalilika hapa duniani.
Huyu dada kadhalilika apumzike..!!Kweli bora kufa ..Unateseka mpaka unadhalilika hapa duniani.
Maisha sio fumbo.Haya maisha ni fumbo sote hatujui kesho yetu… 😥
Maana yake kwa miswanglish ni niniInna lillah wainna ilayhi raajiuun