Kifo ni pumziko kwa wale tu wanaomuamini YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao...Exactly 💯.
Death is peace.
Life is just an interruption from not existing.
Wapi mnazikaTupo msibani sitaki vita na mtu leo…!! 😹
Makaburi ya JF mkwajuni…😏Wapi mnazika
Your opinions are not different from that of a suicide bomber.Kifo ni pumziko kwa wale tu wanaomuamini YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao...
Wengine ni kuzimu kwa rafiki wa Dunia Shetani
Sijawahi kuamini kama kufa ni kupumzika!Ameteseka sana bora alivyopumzika, roho yake ilale pema..!! 😥
Makosa ya mtu.. kama yamethibitishwa au ya kubuni tu ni funzo kwa wengine. Huo syo umbeaTukisema wanaume ni wambea kuliko wanawake tunashukiwa kama mwewe...
Ni hatari mno ,ndio maana watu wapo active mno kuchangia misiba kuliko matibabu🤔Mmetumana 😹
Huzuni inazidi akiondoka, mtu anamlilia paka wake akifa itakuwa binadamu mwenzio??
We nawe kwender 😏
Kupumzika mana biashara yako imeishia hapo, hakuna malalamiko ya maisha magumu, wala mpenzi wako anakusaliti..!!Sijawahi kuamini kama kufa ni kupumzika!
Watu vyote tunachangia ila km huna ukaibe?Ni hatari mno ,ndio maana watu wapo active mno kuchangia misiba kuliko matibabu🤔
Mh!Kifo ni pumziko kwa wale tu wanaomuamini YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao...
Wengine ni kuzimu kwa rafiki wa Dunia Shetani
Ndo alirogwa? Si ana asili ya kizanzibar?Alikuwa anatoka wadudu tumboni mara akifanyiwa operesheni kidonda kinafunguka 😢😢
Sijui mengine tunamuachia Mungu.Ndo alirogwa? Si ana asili ya kizanzibar?
Amelala zake tayari.. Ungemwambia akiwa anasikia.🙏Mume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Mazishi memaMakaburi ya JF mkwajuni…😏