Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
😥😥Na huyo mtu aogopwe kama ukoma
Rip Carina...Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Sijui mengine tunamuachia Mungu.
Si aliigiza na gabo muvi flani hiv inaitwa giningi?Muha
Kuna siri gani sijui kati ya umauti na uzima siku ya mwisho unaweza kuuguza siku mgonjwa anaonesha tumaini ndio kwa kheri 😢Yaani alikuwa keshaonesha matumaini
View attachment 3305281
Mimi sikuwahi kutizama movie ila nimemjulia kwenye mitandao ya kijamii juu ya ugonjwa wake.Si aliigiza na gabo muvi flani hiv inaitwa giningi?
kwanza apumzike kwa amani , inasemekana alifatwa na mwenye mume akamjibu shombo sana ,yule mwenye mume akaondoka kumbe alienda kuyazua kifuayacho ndo hiko😪😪Nilikua najiulizaga mbona huu ugonjwa wake kama kuna mkono wa mtu nahis zaid ya op 5 au 7
huyo mwananmke kwanini hakumroga mume wake?kwanza apumzike kwa amani , inasemekana alifatwa na mwenye mume akamjibu shombo sana ,yule mwenye mume akaondoka kumbe alienda kuyazua kifuayacho ndo hiko😪😪
Una umri gani ndugu? Hujawai ona mtu anamfumania mkewe badala ya kumpiga na mkewe mana hakubakwa anaanza kumponda ponda macho kidume mwenzie ushawahi jiuliza kwaninihuyo mwananmke kwanini hakumroga mume wake?
umri una shida gani kiongozi?Una umri gani ndugu? Hujawai ona mtu anamfumania mkewe badala ya kumpiga na mkewe mana hakubakwa anaanza kumponda ponda macho kidume mwenzie ushawahi jiuliza kwanini
😀😀Ndio nani huko das slamu?
EehMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
22 sio 7Nilikua najiulizaga mbona huu ugonjwa wake kama kuna mkono wa mtu nahis zaid ya op 5 au 7