Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,622
- 2,750
Baada ya Agnes masogange Mali nyingine hii imelala chini daah.
Hii inawekana...kwa prof jay ilisaidia sanaMimi huwa sipendi huu utaratibu wa mgonjwa akiwa hajapona kamili kurekodiwa na kuoneshwa eti anaendelea vizur, inawapa advantage sana maadui zako na kuwapa fursa ya kujipanga na kukurudia wakiwa imara zaidi, sijui kwa nini huwa tunakosa subra mpaka mtu apone kabisa.
Tumbo ilikuwa akila chakula kinatoka km kilivyo…!! Pia alikuwa anatoka wadudu tumbo liko wazi.Alikua anaumwa nini?
Frankly leo umeandika ujinga! RIP Hawa.Ooh poleni sana kichupa kingine tena kinaenda liwa na siafu asee😭
ningeshangaa sana kama nisingekutana na swali hili, ushaambi carina ni muigizaji wa bongo muviCarina ndio nani uko daslam
Yes. When you exist, your death doesn't. When your death exists, you don't. So ngoma droo!Death is peace.
Death comes when someone can no longer bear the pains and suffering.
Life is just a short break from not existing.
Duh! Sijawahi kuona! Mungu ampumzishe tuTumbo ilikuwa akila chakula kinatoka km kilivyo…!! Pia alikuwa anatoka wadudu tumbo liko wazi.
Mtihani. Inaskitisha mno. Chanzo hasa ni nini? Au walimharibu wakati wa matibabu?
Kuna jamaa yangu mmoja marehemu kwa sasa, ujauzito ulitunga nje ya fuko bahati mbaya ikaharibika..kwenye kumsafisha sasa ndio wakamtoboa utumbo...hapo sasa ndio ikaanza shida..yaani alipata km miezi mitatu ya matibabu na kufariki, chanzo ikiwa ni hospital
Mambo ya kidaktari Sina usemi. Apumzike kwa Amani.Hata Hawa mwenyewe alisema chanzo kilikuwa nesi kwenye operation ya kwanza.
Katoka theater karudi wodini, asbh nesi anamwambia atembee amenyoosha mgongo.
Akamwambia hawezi anaumia.. nesi akamnyoosha kwa nguvu. Sekunde chache mshono ukafumuka wote, Hawa akaingiza mkono anashika utumbo 🙌
Sasa sijui hiyo kushika nayo ikapelekea ma infection.
Yale yale ya yule dentist, some people hawana huruma, unamwambia unavyojisikia anaona kama unadeka.. Certified Hater
Amen Amen..Mambo ya kidaktari Sina usemi. Apumzike kwa Amani.
Wewe na dentist wako upunguze kumdekea. Nidekee Mimi tu my friend
Yani mimi katika kitu naogopa ni watu wa afya wa TZ, Na hizi chatgpt mambo ndio yatakua mabaya kabisa,Hata Hawa mwenyewe alisema chanzo kilikuwa nesi kwenye operation ya kwanza.
Katoka theater karudi wodini, asbh nesi anamwambia atembee amenyoosha mgongo.
Akamwambia hawezi anaumia.. nesi akamnyoosha kwa nguvu. Sekunde chache mshono ukafumuka wote, Hawa akaingiza mkono anashika utumbo 🙌
Sasa sijui hiyo kushika nayo ikapelekea ma infection.
Yale yale ya yule dentist, some people hawana huruma, unamwambia unavyojisikia anaona kama unadeka.. Certified Hater
Hakuna unachofahamu.Hata Hawa mwenyewe alisema chanzo kilikuwa nesi kwenye operation ya kwanza.
Katoka theater karudi wodini, asbh nesi anamwambia atembee amenyoosha mgongo.
Akamwambia hawezi anaumia.. nesi akamnyoosha kwa nguvu. Sekunde chache mshono ukafumuka wote, Hawa akaingiza mkono anashika utumbo 🙌
Sasa sijui hiyo kushika nayo ikapelekea ma infection.
Yale yale ya yule dentist, some people hawana huruma, unamwambia unavyojisikia anaona kama unadeka.. Certified Hater
🫂.. Cheza tena nitakusindikiza tuAmen Amen..
Yule dentist sijui kama nitaweza kumsahau. Hana huruma, hajui kumbembeleza mgonjwa..na ile hosp sirudipo tenaaa kwa akili zangu, labda iwe refferal
Sina nachofahamu sababu mimi sio yeye na sikuwa mwanafamilia wake.Hakuna unachofahamu.
Naendelea kusisitiza hakuna unachofahamu.Sina nachofahamu sababu mimi sio yeye na sikuwa mwanafamilia wake.
Lakini nayajua aliyoamua yeye Hawa kuyasimulia nje.
Mbona video clip zipo sana huko duniani
yaan, ndio maana haifai kuridhika na majibu ya hosp moja.Yani mimi katika kitu naogopa ni watu wa afya wa TZ, Na hizi chatgpt mambo ndio yatakua mabaya kabisa,
Kuna nesi alikosea kuhesabu miez ya mimba, karudisha nyuma mwezi mzima, nusu mtu atiwe kisu kua siku zimepita.
Hapo ingekua shidakwa mtoto na mama pia. They are not serious at all.
Kacheze unapochezaga…Naendelea kusisitiza hakuna unachofahamu.
Chakula Kinatoka Kwa njia gani na wadudu wanatoka Kwa njia gani?Tumbo ilikuwa akila chakula kinatoka km kilivyo…!! Pia alikuwa anatoka wadudu tumbo liko wazi.