Mimi huwa sipendi huu utaratibu wa mgonjwa akiwa hajapona kamili kurekodiwa na kuoneshwa eti anaendelea vizur, inawapa advantage sana maadui zako na kuwapa fursa ya kujipanga na kukurudia wakiwa imara zaidi, sijui kwa nini huwa tunakosa subra mpaka mtu apone kabisa.
Time flies but it doesn't fly alone it flies with people.
View: https://youtu.be/5HGLmDKHLAs?si=u4jpjsjkazG2-XKs
Apumzike kwa aman ameteseka sana uyo mdadaMuigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Yaani uuwe mtu sababu ya uzinzi?Mume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Sio chakula tu mama,haja kubwa ilikua inatokea hapo kwenye mshono tumboni so akawa anatoa harufu sanaKwani alikuwa anapatia haja kubwa au alikuwa kila anachokula kinatokea tumboni on the spot. Alisema hata maji akinywa yanapenya kupitia tumboni na huwa anaungua km anawekewa moto. So hata kula alikuwa anakula kwa machale maana hakuna kilokuwa kinakaa licha ya operations nyingi alizofanyiwa
Mimi nahisi alipokua hapa huenda hakupata diagnosis ilio sahihi mana alipokua India niliona anapohojiwa akasema wahindi walimwambia shida ya huku tuna vifaa tiba duni vya uchunguzi,so by the time kafika kule itakua damage ilishakua kubwa hence kusurvive ikawa ishu!Wataalamu mtusaidie inakuaje Hawa alitolewa utumbo mkubwa ulioharibika jinsi ulivyo mwngi mpka ndoo ikajaa,.....Pumzika Hawa
Mtihani. Inaskitisha mno. Chanzo hasa ni nini? Au walimharibu wakati wa matibabu?Sio chakula tu mama,haja kubwa ilikua inatokea hapo kwenye mshono tumboni so akawa anatoa harufu sana
spiritual kivipi?Hivi huyu dada na familia na watu wa karibu walishindwa kujiongeza kwamba Hilo tatizo ni spiritual?
Hospital ni mauzauza tu.so Kuna wakati inabidi uwaze kivingine.spiritual kivipi?
Alikua anaumwa nini?Ameteseka sana bora alivyopumzika, roho yake ilale pema..!! 😥
Ndo nimeona sehemu wanasema alihojiwa akasema aliota anachomwa kisu cha tumbokwanza apumzike kwa amani , inasemekana alifatwa na mwenye mume akamjibu shombo sana ,yule mwenye mume akaondoka kumbe alienda kuyazua kifuayacho ndo hiko😪😪
sawa sistaHospital ni mauzauza tu.so Kuna wakati inabidi uwaze kivingine.
We imagine operation 22 mtu bado anahangaika tu