Mume/mke wa mtu sumu. Utarogwa ww uliyechukua mali ya mtu.huyo mwananmke kwanini hakumroga mume wake?
Mume/mke wa mtu sumu. Utarogwa ww uliyechukua mali ya mtu.huyo mwananmke kwanini hakumroga mume wake?
Karibu jukwaaniKacheze unapochezaga…
Kwenye utumbo haendi aja…Chakula Kinatoka Kwa njia gani na wadudu wanatoka Kwa njia gani?
Kwa Hiyo kinamwagikia ndani Kwa ndani?Kwenye utumbo haendi aja…
Bushmamy unanichosha bhana..!!Kwa Hiyo kinamwagikia ndani Kwa ndani?
APUMZIKE KWA AMANI. JAMANI TUZIDI KUMWOMBA MUNGU AZIDI KUTULINDA NA KUTUJALIA AFYA THABITI.Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Shida yako ni uwezo wako kuchanganua mambo upo chini sana,siyo kila unachokisikia unameza kama dodoki.Kacheze unapochezaga…
she was an angel, ni binadam nahisi alimfanyia haya kumkomesha. Nilivutiwa sana na kazi zake hasa ile tamthilia alioshirikishwa na JB ilikua inarushwa TBC mida ya usiku saa tano hiviSura yake ukiona na aliyokuwa anayopitia ni vitu viwili tofauti kabisa.
UsinichosheShida yako ni uwezo wako kuchanganua mambo upo chini sana,siyo kila unachokisikia unameza kama dodoki.
Nipo dear, jana na leo 😁Karibu jukwaani
Nikutakie usiku mwema kijana.Usinichoshe
Kutaka kujua tyu si unajua uzee shida huuBushmamy unanichosha bhana..!!
Usiku wangu haukuhusu..Nikutakie usiku mwema kijana.
Kwa hiyo alirogwa? 🤣🤣kwanza apumzike kwa amani , inasemekana alifatwa na mwenye mume akamjibu shombo sana ,yule mwenye mume akaondoka kumbe alienda kuyazua kifuayacho ndo hiko😪😪
Unauliza makofi polisiKwa hiyo alirogwa? 🤣🤣
Title ya uzi umebalisha au nyuzi zimeunganishwa..ningeshangaa sana kama nisingekutana na swali hili, ushaambi carina ni muigizaji wa bongo muvi