TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Wakati mwingine waleta habari hukosea sana kuleta habari za kina za watu kana kwamba tunawajua wote
 
Nasikia utumbo wake mpana ulitoboka so akawa anapatia haja kubwa kupitia tumboni kwenye mishono ambayo alifanyiwa hapo muhimbili
Na hapo muhimbili alifanyiwa operesheni 24 ila kila akitoka kwenye operesheni haja kubwa inapitia kwenye mshono,hivi karibuni madokta wakamshauri aende india so huko akafanyiwa ya 25 ambayo alitolewa utumbo wake mpana ukabakia kidogo sana!
Operesheni ikawa successful na akawa anaendelea vizuri huku akitarajiwa kurudi tarehe 20 mwezi huu
Ila bahati mbaya kalala hajaamka!
May she RIP!
Dah aise

Ova
 
Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu

Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.

Kipindi Kile wimbo wa Bob junior oyoyo ndio alikuwa video queen daah nilikuwa namtaman saaaana.

Na ule wimbo wa Mwana FA ft Hardmadi ft Ay dakika moja daah alikuwa Pini Sana marehemu.
 
daah mnanitisha.nina umwa tumbo mwaka sasa.kwenye kitovu yaani ni maumivu ambayo yanauma alafu yanapoa.operesheni ndo kitu sitaki kusikia
 
Back
Top Bottom