Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Ni nani huyo?
Kheee we ndio bichura kiziwi ?Kifo ni kifo TU
Kwa hiyo chanzo cha kifo ni tamaa, ambayo huzaa mautiMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Ndege ya watanzaania ya watoto wa mama itamchukuaHope kutakuwa na michango ya kurejesha mwili wake nyumbani na serkali itaombwa isaidie
USSR
MuhaNdo alirogwa? Si ana asili ya kizanzibar?
akifa mumeo tutakujuza bibiewazazi wakifa mtuambie pia
Dah!Alikuwa anatoka wadudu tumboni mara akifanyiwa operesheni kidonda kinafunguka 😢😢
Aisee.Mwendo ameumaliza ila vita hajapigana...
Sio kila mtu atapumzika kwa amani
Alisikika msemakweli mpenzi wa Mungu akiongea...
Nasikia utumbo wake mpana ulitoboka so akawa anapatia haja kubwa kupitia tumboni kwenye mishono ambayo alifanyiwa hapo muhimbiliChanzo cha kutoka wadudu tumboni ni nini!
Ova
Huyu tangu na hapo serikali ilishabeba kushughulika na matibabu yake. Bila ya shaka na hili la kuleta mwili watashughulika. Alianza na sheikh Suleiman wa Zanhelp mpk serikali ilipoamua kubeba jukumu la kusaidiaHope kutakuwa na michango ya kurejesha mwili wake nyumbani na serkali itaombwa isaidie
USSR
Kwani alikuwa anapatia haja kubwa au alikuwa kila anachokula kinatokea tumboni on the spot. Alisema hata maji akinywa yanapenya kupitia tumboni na huwa anaungua km anawekewa moto. So hata kula alikuwa anakula kwa machale maana hakuna kilokuwa kinakaa licha ya operations nyingi alizofanyiwaNasikia utumbo wake mpana ulitoboka so akawa anapatia haja kubwa kupitia tumboni kwenye mishono ambayo alifanyiwa hapo muhimbili
Na hapo muhimbili alifanyiwa operesheni 24 ila kila akitoka kwenye operesheni haja kubwa inapitia kwenye mshono,hivi karibuni madokta wakamshauri aende india so huko akafanyiwa ya 25 ambayo alitolewa utumbo wake mpana ukabakia kidogo sana!
Operesheni ikawa successful na akawa anaendelea vizuri huku akitarajiwa kurudi tarehe 20 mwezi huu
Ila bahati mbaya kalala hajaamka!
May she RIP!
Na huyo mtu aogopwe kama ukomaAisee, Kama kulikuwa na mkono wa mtu, basi huyo mtu alipomfungia huyu dada inawezekana hakufikiki kwa mwili wa nyama.
Mbona alishindwa kujiokoa mwenyewe na kipigo kitakatifu alichopewa na wayahudi? Mmerogwa sio bure! Mtu aliyekuwa anakunya kama wewe unamuita munguKifo ni pumziko kwa wale tu wanaomuamini YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao...
Wengine ni kuzimu kwa rafiki wa Dunia Shetani