Aliumwa niniHuyu Dada ameumwa sana...
Apumzike kwa Amani...
Alikuwa anatoka wadudu tumboni mara akifanyiwa operesheni kidonda kinafunguka 😢😢Aliumwa nini
USSR
Kwa kweli operesheni zaidi ya 40 kwenye tumbo moja la binadamu si mchezo kwa kweli kaupambania sana uhai wake 😢Ameteseka sana bora alivyopumzika, roho yake ilale pema..!! 😥
Kweli hujafa hujaumbika 😥Alikuwa anatoka wadudu tumboni mara akifanyiwa operesheni kidonda kinafunguka 😢😢
Hakika,kateseka sana aisee...Ameteseka sana bora alivyopumzika, roho yake ilale pema..!! 😥
Ameteseka huyo mdada, nahisi hata yeye alichoka… 😥🥹Kwa kweli operesheni zaidi ya 40 kwenye tumbo moja la binadamu si mchezo kwa kweli kaupambania sana uhai wake 😢
Sura yake ukiona na aliyokuwa anayopitia ni vitu viwili tofauti kabisa.Kweli hujafa hujaumbika 😥