Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Mi nlikuwa nawaza huyo dada kuna mtu anampiganisha kiroho sio bureApumzike kwa Amani. Pole kwa familia yake.. huyo dada aliteseka mnooo 🥹🥹
Zile idadi za operation aisee 🙌
Mi nlikuwa nawaza huyo dada kuna mtu anampiganisha kiroho sio bureApumzike kwa Amani. Pole kwa familia yake.. huyo dada aliteseka mnooo 🥹🥹
Zile idadi za operation aisee 🙌
Hili jambo nililiwaza sana maana ilikuwa ajabu kuumwa nini kile kisichopona pamoja na operations zote zileMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Utumbo mwingi sio mkubwa, mdogo ndio mwingi una urefu wa wastan wa futi 23 hadi 24Wataalamu mtusaidie inakuaje Hawa alitolewa utumbo mkubwa ulioharibika jinsi ulivyo mwngi mpka ndoo ikajaa,.....Pumzika Hawa
Ni magonjwa in this life msiamini mambo ya uchawi Sana mkasahu kuna watu kibao wanaumwa Sana kuzidi hata alivyokuwa CarinaMi nlikuwa nawaza huyo dada kuna mtu anampiganisha kiroho sio bure
Huyu binti kila nikiangalia interview zake youtube akiongelea ugonjwa wake, naskia uchungu sana ushirikina unavyoumiza watu. Apumzike kwa amani.Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Mume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Kwahiyo na hao wanaoumwa the same ugonjwa akiowakuta India na wao ni ushirikina ?.Huyu binti kila nikiangalia interview zake youtube akiongelea ugonjwa wake, naskia uchungu sana ushirikina unavyoumiza watu. Apumzike kwa amani.
Bahati mbaya uchawi hauna ushahidi ila sali sana na uombee yasikukute. Mungu atuweke mbali na michezo yeyote ya ushirikina.Kwahiyo na hao wanaoumwa the same ugonjwa akiowakuta India na wao ni ushirikina ?.
Wakimaliza mambo yao wanafunga padlock alafu wanaenda kutupa chooni, utaenda kila mahali na hutoboi. Ni neema tu ya Mungu ukiponyeka, watu wabaya sana.Aisee, Kama kulikuwa na mkono wa mtu, basi huyo mtu alipomfungia huyu dada inawezekana hakufikiki kwa mwili wa nyama.
Bahati mbaya uchawi hauna ushahidi ila sali sana na uombee yasikukute. Mungu atuweke mbali na michezo yeyote ya ushirikina.
Don't judge kijana, don't. Take the lesson kwamba usipende kugombana na watu ambao huwajui. People are very cruel in this universe and you don't really know what they are capable of. The best you can do is be humble and calm.Huyu dada kwa hakika ameteseka sana! Kama ni mtu alimpa adhabu basi mtu huyo anaroho mbaya kuliko kiumbe yeyote duniani.
Dah!Wakimaliza mambo yao wanafunga padlock alafu wanaenda kutupa chooni, utaenda kila mahali na hutoboi. Ni neema tu ya Mungu ukiponyeka, watu wabaya sana.
Fanya unitumie rambirambi basi minMadam pole sana
💯💯Don't judge kijana, don't. Take the lesson kwamba usipende kugombana na watu ambao huwajui. People are very cruel in this universe and you don't really know what they are capable of. The best you can do is be humble and calm.
Nyie vijana wa siku hizi wabishi sana. Haya mambo hukatazwi kwenda hospitali ila inabidi uangalie response ya treatment options zako, Dunia ishakuwa ya hovyo hii, imejaa watu wasio na utu hata kidogo. Qadr zipo ila jifunzeni kujipambania. Huyo dada bila hata kupepesa macho, kapitia aliyoyapitia sababu ya ushirikina.Ushirikina upo Ila unapoumwa tafuta matibabu kwa njia za kitaalamu .
Ikiwa Carina amekaa na tatizo miaka nane linamsumbua .
Unafikiri ukubwa wa tatizo utakuwa wa aina gani?
Tusiamini Sana haya mambo ya ushirikina kiasi cha kushindwa kutumia akili zetu vizuri .
Mwaka 2006 tulimpoteza MTU wetu wa karibu kwa mambo Kama haya anaumwa anakataa kwenda hosptali akidai amerogwa.
Mwingine alikuwa uncle wangu alikuwa bandarini aliumwa akasema karogwa akaja kwenda hosptalini too late akawa ameshapooza miguu.
Sisi katika dini yetu ya kiisalamu kuna kitu kinaitwa Qadari kuwa mwenye Mungu anatukadilia na kutupa mitihani tunayoweza kuibeba
Pia kuna AYA ktk quruan inasema ",God doesn't burden any soul more than it can bear" kuwa mwenyezi Mungu ambebeshi MTU Mzigo kinyume na uwezo wake.
Tumtegemee Mungu anatosha
Kweli kabisa.Nyie vijana wa siku hizi wabishi sana. Haya mambo hukatazwi kwenda hospitali ila inabidi uangalie response ya treatment options zako, Dunia ishakuwa ya hovyo hii, imejaa watu wasio na utu hata kidogo. Qadr zipo ila jifunzeni kujipambania. Huyo dada bila hata kupepesa macho, kapitia aliyoyapitia sababu ya ushirikina.
Ila hata huyo aliyefanya hivyo, Mwisho wake utakuja kuwa mbaya sana. Malipo ni hapa hapa duniani, kule tunaenda kupumzika tu.Dah!
Watu wanajua kutesa wenzao.