TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Nyie vijana wa siku hizi wabishi sana. Haya mambo hukatazwi kwenda hospitali ila inabidi uangalie response ya treatment options zako, Dunia ishakuwa ya hovyo hii, imejaa watu wasio na utu hata kidogo. Qadr zipo ila jifunzeni kujipambania. Huyo dada bila hata kupepesa macho, kapitia aliyoyapitia sababu ya ushirikina.

Hamna uchawi hiyo ni njia ambayo imetumika kuondokea Kama ambavyo kuna njia zilizotumika yeye kuja.


Kila jambo linalomtokea MTU lina sababu na wala sio bahati mbaya.


Unaposema Mimi nikijana unamanisha nini.

Hoja yako ya uwepo wa ushirikina nimeikataa kwa sababu zangu maalumu .


Mfano Carina Alikuwa na tatizo katika utumbo ambalo limepelekea kuanyia upasuaji mpaka 7 .


Ila hilo tatizo lake sio kwamba yeye no MTU pekee alikuwa nalo hapa dunaini watu wengi kutoka Mataifa Mbali Mali

Je hao wamerogwa ?


Kumbuka mambo mengi ni mind game unaweza kutembea na mke wa MTU baada ya muda mfupi Mme wake akakuambia naenda kukuroga na ghafla ukaumwa either typhoid unaweza kuamini tayari kakuroga badala ya kufata matibabu ya kitaalamu ukaenda kwa waganga na ukafa kwa typhoid Ila watu wataamini ulirogwa.


So ushirikina upo overrated hauna hizo nguvu Kama mnavyojaribu kuelezea hapa
 
Ila hata huyo aliyefanya hivyo, Mwisho wake utakuja kuwa mbaya sana. Malipo ni hapa hapa duniani, kule tunaenda kupumzika tu.
Ni sahihi kabisa.

Kuna kaka mmoja alipigwa ukiwete, just imagine kaka rijali anageuka kuwa kiwete ghafla. Kisa kuna vitu alishiriki kuiba.
Ameteseka zaudi ya miaka 15, mwisho wa siku alifariki😥.

Mke hakuweza kumvumilia, akaondoka zake.
 
Sehemu au mkoa ambao Una wakazi kuanzia 200K laki mbili unawezaje kukosa waislamu .

Maswali mengine yanafikirisha Sana

Bukoba mjini Ambako Mimi nimezaliwa na kukulia .

Mwaka 2022 Rais Mama Samia alizindua Msikiti ambao umejengwa kwa gharama zaidi ya bil 8 pale Bukoba mjini .



Ukiachana na hilo kuna Viongozi wakubwa wengi tu wa hii nchi wanajulikana kuwa ni waislamu

Mfano aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani

Mh Khamis sued kagasheki - huyu ni muislamu

Naziri karamagi - huyu alikuwa waziri wa viwanda na aliwahi kuwa na Scandal ya Escrow


Bashiru Ally kakurwa - huyu alikuwa katibu Mkuu wa Ccm na baadae katibu Mkuu kiongozi.


Kwahiyo ukiuliza swali au kushangaa kuhusu kuwepo kwa wahaya waislamu unakuwa unatupatia mashaka Sana juu ya uwezo wako wa kufikiri na kuuliza maswali
Bashiru nilijua ni muislam ila pia nilishangaa kujua kuwa hee kumbe Kuna wahaya waisalamu,
Nimejiuliza hivyo maana katika kukua kwangu na kutembea baadhi ya mikoa ikiwemo kagera sijawahi kukutana na wahaya waislamu
 
Bashiru nilijua ni muislam ila pia nilishangaa kujua kuwa hee kumbe Kuna wahaya waisalamu,
Nimejiuliza hivyo maana katika kukua kwangu na kutembea baadhi ya mikoa ikiwemo kagera sijawahi kukutana na wahaya waislamu
Unavyomjibu vizuri mwenzako ndo anazidi kupanda, haha. Pole
 
Bahati mbaya uchawi hauna ushahidi ila sali sana na uombee yasikukute. Mungu atuweke mbali na michezo yeyote ya ushirikina.
Haya mambo yasikie tu, kuna binti alitembea na mume wa mtu Mwanza, Mwenye mume alituma watu mara kadhaa wamuonye yule bint bahati mbaya bint hakuacha, kilichofuata binti baada ya muda binti akawa akiingia period damu inatoka nyingi mnoo mpaka inabidi apelekwe hospital kuongezewa, binti akatuma watu tena viongozi wa dini tena wa mahali anapoabudia kumuombea msamaha kwa yule mke wa mtu, mke akasema bahati mbaya sana uchawi huo huwa haurudi nyuma so imeisha hiyo ndiyo maana alimuomba sana binti aache kutembea na mumewe.
Maskini binti yule siku zilivyosonga mbele hali yake ilizidi kuwa mbaya sana na hatimaye alifariki.
 
Ila hata huyo aliyefanya hivyo, Mwisho wake utakuja kuwa mbaya sana. Malipo ni hapa hapa duniani, kule tunaenda kupumzika tu.
Aliyefanya tayari kajiingiza kwenye mtego wa kisasi , kinachokwenda kutokea ni piga nikupige.
Tumuombe mungu familia ya HAWA iachane na mambo ya kisasi kama jambo hili la ushirikina lina ukweli.
 
Back
Top Bottom