Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Huu msamiati mgumu😁😁Ni Makhulukutabu kama Tundu Lissu
Huu msamiati mgumu😁😁Ni Makhulukutabu kama Tundu Lissu
Na zaidi wakiwaga michepuko wanaona wamewazidi kila kitu njia kuu lazima wawatafutie namnaKinachowauma watu ni kupoteza muda, mtu kahangaika na mwanaume wake miaka nenda miaka rudi alafu unakuja unajifanya mjuaji, lazima akakushtakie kwa wakulu.
Wakomee banaa...Wakomege kuparamia paramia amani za watu
Michepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunzaWakomee banaa...
Wanajifunzaga basi hawa, wote ni sikio la kufa.Michepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunza
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya Kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu...Haya mambo yasikie tu, kuna binti alitembea na mume wa mtu Mwanza, Mwenye mume alituma watu mara kadhaa wamuonye yule bint bahati mbaya bint hakuacha, kilichofuata binti baada ya muda binti akawa akiingia period damu inatoka nyingi mnoo mpaka inabidi apelekwe hospital kuongezewa, binti akatuma watu tena viongozi wa dini tena wa mahali anapoabudia kumuombea msamaha kwa yule mke wa mtu, mke akasema bahati mbaya sana uchawi huo huwa haurudi nyuma so imeisha hiyo ndiyo maana alimuomba sana binti aache kutembea na mumewe.
Maskini binti yule siku zilivyosonga mbele hali yake ilizidi kuwa mbaya sana na hatimaye alifariki.
Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Japo yeye alitamani sana aendelee kuishiAmeteseka sana bora alivyopumzika, roho yake ilale pema..!! 😥
Serikali ndio iliyompeleka IndiaHope kutakuwa na michango ya kurejesha mwili wake nyumbani na serkali itaombwa isaidie
USSR
Sema kama Kuna aliyemroga huyu dada aisee kaweza hadi kaweza tenaAlikuwa anatoka wadudu tumboni mara akifanyiwa operesheni kidonda kinafunguka 😢😢
Oyoyo na Bob JoniorNi yule aliyeimba na daimond wimbo wa nitarejea?
Kwani na hao wagonjwa wengine wamefanyiwa operatin nyingi kama yeye? Shida hapo nadhani umekuwa sio ugonjwa wa kawaida kwa jinsi alivyofanyiwa operation, sio kawaida kabisaHamna uchawi hiyo ni njia ambayo imetumika kuondokea Kama ambavyo kuna njia zilizotumika yeye kuja.
Kila jambo linalomtokea MTU lina sababu na wala sio bahati mbaya.
Unaposema Mimi nikijana unamanisha nini.
Hoja yako ya uwepo wa ushirikina nimeikataa kwa sababu zangu maalumu .
Mfano Carina Alikuwa na tatizo katika utumbo ambalo limepelekea kuanyia upasuaji mpaka 7 .
Ila hilo tatizo lake sio kwamba yeye no MTU pekee alikuwa nalo hapa dunaini watu wengi kutoka Mataifa Mbali Mali
Je hao wamerogwa ?
Kumbuka mambo mengi ni mind game unaweza kutembea na mke wa MTU baada ya muda mfupi Mme wake akakuambia naenda kukuroga na ghafla ukaumwa either typhoid unaweza kuamini tayari kakuroga badala ya kufata matibabu ya kitaalamu ukaenda kwa waganga na ukafa kwa typhoid Ila watu wataamini ulirogwa.
So ushirikina upo overrated hauna hizo nguvu Kama mnavyojaribu kuelezea hapa
Ameteseka huyo mdada, nahisi hata yeye alichoka… 😥🥹
Nkamu itakuwa hata yeye alichoka, yale maumivu ni makali 😥🥹Japo yeye alitamani sana aendelee kuishi
Inaumiza sana Nkamu😰
Kuna video nimeona mwanzoni alipokuwa ameanza kuugua Mama yake alikuwa anahojiwa anasema shangazi zake wanataka kumtoa kafara.Sema kama Kuna aliyemroga huyu dada aisee kaweza hadi kaweza tena
Kama ni mkono wa mtu basi huu ni zaidi ya unyama
Huyu dada ameteseka jamani😰
Niliona piaKuna video nimeona mwanzoni alipokuwa ameanza kuugua Mama yake alikuwa anahojiwa anasema shangazi zake wanataka kumtoa kafara.
Hakuchoka NkamuNkamu itakuwa hata yeye alichoka, yale maumivu ni makali 😥🥹
Si bora wangemuuwa mwanzoni jamanii we miaka 9 kwa kweli nisingeweza 🤔Niliona pia
Huyu dada nimefuatilia sana
Dah, yaani nimeumia mno.
Ndio hapo sasaSi bora wangemuuwa mwanzoni jamanii we miaka 9 kwa kweli nisingeweza 🤔