TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dul ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dual yake lazima ijibiwe!
Kwa hiyo asingetembea na mume wa mtu asingepatwa na huo ugonjwa?
 
Wakimaliza mambo yao wanafunga padlock alafu wanaenda kutupa chooni, utaenda kila mahali na hutoboi. Ni neema tu ya Mungu ukiponyeka, watu wabaya sana.
Au wanatuba baharini katikati
Hapo ni mpk Yesu aingilie kati,ukute watumishi kweli kweli ,kwanza wenye macho ya kuona tatizo,chanzo na nguvu ya kuondoa Hilo tatizo
 
Hivi kweli kabisa watu mnaamini [bila ushahidi wowote ule] kuwa alirogwa?

Mbona binadamu kuugua ni jambo la kawaida sana…

Kuna watoto wanazaliwa na ma kila aina ya saratani na wanateseka sana na hatimaye hufariki. Na hii ni dunia nzima. Ila ikitokea Tanzania, ni uchawi.

Magonjwa hapa duniani yapo mengi mno. Na magonjwa mengine huwa ni ya nadra sana [rare diseases] na huwapata watu wachache sana.

Yawezekana huyo dada alikuwa tu na ugonjwa ulio wa nadra.

Yaani kwa Watanzania mlio wengi uchawi ndo default reason ya kila kitu! SMH.
Sijui issue ya huyu dada
Ila mkuu uchawi upoo
Asikwambie mtu
Watu wanaroga
 
Kwa hiyo asingetembea na mume wa mtu asingepatwa na huo ugonjwa?
Mkuu kifo chake ndo mwisho wake ambao mungu amempangia kila mtu atakufa! Ishu ni utakufa kwenye mazingira gani? Ndo maana tunaomba mwisho mwema! mm na wewe hatujui mdhurumiwa aliomba dua gani je kama aliomba mungu ampe maradhi ytakayomdhoofisha mpaka siku yake ya mwisho je? Si ni dua hiyo eenh? Si imejibiwa
 
Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dua ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dua ya mdurumiwa lazima ijibiwe!

Dada yangu, unajua kuwa uvumi huu ni kumtuhumu zinaa huyu dada yetu? Unajua ushahidi unaohitajika kuthibitisha mtu kuwa amezini?Unajua kuwa kama unamsingizia uongo utakwenda kumlipa siku ya Qiyama? na hutomlipa pesa wala mali. Tujichunge sana. Sio kila tunachokisikia tunasema tu. Kila tetesi tunayoisikia tunataka kuisema tu. Hizi ni heshima za watu. Tuzichunge jamani.


(Qur'an 24: 19)
إِنَّ ٱلَّذِينَ يُحِبُّونَ أَن تَشِيعَ ٱلۡفَٰحِشَةُ فِي ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ فِي ٱلدُّنۡيَا وَٱلۡأٓخِرَةِۚ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ وَأَنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ

Verily, those who like that (the crime of) illegal sexual intercourse should be propagated among those who believe, they will have a painful torment in this world and in the Hereafter. And Allah knows and you know not.

Sahih Muslim 2581
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:

Do you know who is poor? They (the Companions of the Holy Prophet) said: A poor man amongst us is one who has neither dirham with him nor wealth. He (the Holy Prophet) said: The poor of my Umma would be he who would come on the Day of Resurrection with prayers and fasts and Zakat but (he would find himself bankrupt on that day as he would have exhausted his funds of virtues) since he hurled abuses upon others, brought calumny against others and unlawfully consumed the wealth of others and shed the blood of others and beat others, and his virtues would be credited to the account of one (who suffered at his hand). And if his good deeds fall short to clear the account, then his sins would be entered in (his account) and he would be thrown in the Hell-Fire.
 
Ameteseka Hawa jamani almost 9 yrs yeye ni hospitali na visu vya tumbo dah! Pumzika dada.
 
Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dua ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dua ya mdurumiwa lazima ijibiwe!
Mme wa MTU au mke wa MTU ni nadharia za kujitungua hakuna kitu kinaitwa Mme wa MTU wala mke wa MTU
 
Huyu dada ugonjwa wake unaitwaje kwa kizungu???
 
Nasikia utumbo wake mpana ulitoboka so akawa anapatia haja kubwa kupitia tumboni kwenye mishono ambayo alifanyiwa hapo muhimbili
Na hapo muhimbili alifanyiwa operesheni 24 ila kila akitoka kwenye operesheni haja kubwa inapitia kwenye mshono,hivi karibuni madokta wakamshauri aende india so huko akafanyiwa ya 25 ambayo alitolewa utumbo wake mpana ukabakia kidogo sana!
Operesheni ikawa successful na akawa anaendelea vizuri huku akitarajiwa kurudi tarehe 20 mwezi huu
Ila bahati mbaya kalala hajaamka!
May she RIP!
Mbona ashaenda India karibia sijui mara tatu
 
Back
Top Bottom