TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Hakuchoka Nkamu
Yaani alitamani sana aishi
Hadi umauti unamkuta
Alimwambia mama Yake kuwa anarudi na atamtimizia Yale yote aliyomuahidi
Kifo kimemkatili huyu Dada jamani.

Angalia video zake wakati anaenda India
Yaani alipata tumaini.

Serikali tunashukuru imesaidia
Japo imekuwa too late.
Siku ya kwanza aliota ndoto anatoka damu nyingi tumboni ndio chanzo cha ugonjwa wake na alipo fariki walio shuhudia wamesema pia alitoka damu nyingi tumboni na kutapika kama alijiotea kifo chake na mateso atakayo pitia.
 
Ndio hapo sasa
Wametegesha alivyoenda tu India
Wakasema atatukoma

Akiyanani
Aliyehusika
Naye Mungu amuadhibu,apate mateso makali sana zaidi ya aliyoyapitia huyu dada.
Usione watu kwenye Dunia hii wana lipiza kisasi au mtu anakuwa chizi kuna mda unakuta mtu amemtendea mpendwa wako mambo ya ajabu kiasi moyo unashindwa kupoa au kusahau😕
 
Siku ya kwanza aliota ndoto anatoka damu nyingi tumboni ndio chanzo cha ugonjwa wake na alipo fariki walio shuhudia wamesema pia alitoka damu nyingi tumboni na kutapika kama alijiotea kifo chake na mateso atakayo pitia.
Yaani😭😭
Kafa kama ndoto yake ilivyokuwa

Jamani
Mimi nimeumia sana
Kaenda hadi India Dada wa watu.
Aisee
Huu ugonjwa wake Kuna namna siyo wa kawaida.
Ungekuwa wa kawaida zile operations mfululizo hapana kwa kweli.

Halafu ni kama walimtegesha
Akipata tu nafuu, wanampiga tena kidonda kinaanza upya.
 
Usione watu kwenye Dunia hii wana lipiza kisasi au mtu anakuwa chizi kuna mda unakuta mtu amemtendea mpendwa wako mambo ya ajabu kiasi moyo unashindwa kupoa au kusahau😕
Hiki kisasi Cha huyu Dada ni kiboko🙌🏿💔
Watu Wana roho mbaya sana aisee.

Dada wa watu hadi akaomba msamaha kama kuna mtu alimkosea amsamehe lakini wapi💔
 
Yaani😭😭
Kafa kama ndoto yake ilivyokuwa

Jamani
Mimi nimeumia sana
Kaenda hadi India Dada wa watu.
Aisee
Huu ugonjwa wake Kuna namna siyo wa kawaida.
Ungekuwa wa kawaida zile operations mfululizo hapana kwa kweli.

Halafu ni kama walimtegesha
Akipata tu nafuu, wanampiga tena kidonda kinaanza upya.
Kama mkono wa mtu basi huyo mtu kiboko wa roho chafu na mbaya na Mungu amlaani yeye na kizazi chake😕
 
Hiki kifo cha huyu dada kimeniuma mno mno,kama ni ndugu yangu wa damu.
Kama Mimi tu
Nimeumia sana
Struggles zake
Misaada watu wamempa
Wakitegemea atapona
Yaani aisee
Bora hata angepona angalau aishi maisha bila maumivu hata Kwa kitambo tu.

Basi tunamshukuru Mungu Kwa yote.
 
Kwa kweli operesheni zaidi ya 40 kwenye tumbo moja la binadamu si mchezo kwa kweli kaupambania sana uhai wake 😢
Oparation 1,2,3 unaendelea?
No way, hapo ni kupambana na maombi tu Mungu aingilie kati,ukishaona mambo hayasomeki jua Kuna namna
 
Siku ya kwanza aliota ndoto anatoka damu nyingi tumboni ndio chanzo cha ugonjwa wake na alipo fariki walio shuhudia wamesema pia alitoka damu nyingi tumboni na kutapika kama alijiotea kifo chake na mateso atakayo pitia.
Unaona SS, haukuwa ugonjwa wa kawaida,🙌🙌ukiona kitu limeanzia kwenye ndoto ujue Kuna namna
Aisee life is spiritual
 
Na zaidi wakiwaga michepuko wanaona wamewazidi kila kitu njia kuu lazima wawatafutie namna
Km nikiangalia mama angu alivyoteseka na hao wanaoitwa mchepuko , washukuru Mungu siwezi Fanya haya Kwa sasa laa sivyo ningeua mmoja baada ya mwingine
 
Michepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunza
Kweli kabisa nisingekua sio mkristo Mimi sijui naona mateso ya huyu yangekua madogo
 
Wakati huo mama ake anasema shangaz zake ndo wanamfanyia ivyo.
Wee kuna mambo hayasemwi ila yanajulikana tu marehemu hasemwi vibaya ila dah alijua kumtesa mwanamke mwenzake
Hao mashangazi anaosema mama yake huenda waliendeleza mapigo mm na ww hatujui
Olu in olu kuringa hakufai
 
Wizo km tinayosikia ni kweli aisee mume anauma
Mi Kila nikuwaza mama angu alivyoteseka sbb ya watu km hao Sina huruma na ni vile Kwa ss ukristo siwezi Fanya kitu unless ningeua wote mbwa hawa
Sema kama Kuna aliyemroga huyu dada aisee kaweza hadi kaweza tena
Kama ni mkono wa mtu basi huu ni zaidi ya unyama
Huyu dada ameteseka jama
 
Michepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunza
Michepuko wanaojifanya wajuba (viburi)
Wanaonywa taratibu wanajibu kunya ndo inapaswa kuwa dawa yao hii
Mume anauma bana agghh nasikia hasira mimi
 
Ingekuwa wanawake wote wanafanya hivi basi ingekuwa waume za watu wanaogopa
Km ni kweli atajijuq bwana
Hivi kweli kabisa watu mnaamini [bila ushahidi wowote ule] kuwa alirogwa?

Mbona binadamu kuugua ni jambo la kawaida sana…

Kuna watoto wanazaliwa na ma kila aina ya saratani na wanateseka sana na hatimaye hufariki. Na hii ni dunia nzima. Ila ikitokea Tanzania, ni uchawi.

Magonjwa hapa duniani yapo mengi mno. Na magonjwa mengine huwa ni ya nadra sana [rare diseases] na huwapata watu wachache sana.

Yawezekana huyo dada alikuwa tu na ugonjwa ulio wa nadra.

Yaani kwa Watanzania mlio wengi uchawi ndo default reason ya kila kitu! SMH.
 
Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dua ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dua ya mdurumiwa lazima ijibiwe!
 
Back
Top Bottom