TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Bashiru nilijua ni muislam ila pia nilishangaa kujua kuwa hee kumbe Kuna wahaya waisalamu,
Nimejiuliza hivyo maana katika kukua kwangu na kutembea baadhi ya mikoa ikiwemo kagera sijawahi kukutana na wahaya waislamu
Ni wachache sana ukilinganisha na wakristo uko sahihi kushangaa ni km ukanda wa pwani wakristo ni wachache mno, ndivyo ilivyo na kagera, sehemu zenye waislam mkoa huo ni kyaka, kamachumu, izimbya napo kwa uchache

Kati ya wanakagera 10 waislamu utawapata 3
 
Ni magonjwa in this life msiamini mambo ya uchawi Sana mkasahu kuna watu kibao wanaumwa Sana kuzidi hata alivyokuwa Carina
Uchawi upo, kuna watu wanajua kutesa wengine kuna watu wanajua kuwekea watu magonjwa, namna alivyohangaika huyo dada kuna jirani yangu amehangaika na operation ya kuzaa hivo hivo miaka2 akafariki. Yeye alidanga akamuibia danga lake pesa msukuma mfanyabiashara ana mzigo wa kutosha mfukoni yule dada akaiba akaondoka, Yule jamaa ameamka dada hayupo, na hela hana! Akamfuata yule dada, naomba unirudishie pesa yangu ndiyo ya mtaji ntakupa kiasi yule dada akamjibu kejeli na kumtukana juu msukuma wa watu akaondoka zake akijiapiza na kumuuliza kweli unakatalia pesa zangu? Akampa muda akabeba mimba bwana! Wakati wa kujifungua akajifungua kwa operation. Kwani alipona? Miaka 2 operation ile haiponi kila akienda theatre wanakosea, baada ya muda inasumbua wanarudi wanamfanyia tena, alifanyiwa operation 6 ndani ya miaka miwili na hiyo ya mwisho ndo ikampeleka alijuta akatamani kumtafuta jamaa ndo ivo hawana mawasliano, hajui anaishi wapi, akafa anajuta ivi ivi na alijua kabisa wizi wake ndo umemuua
 
Inafikirisha Ila binadamu wasifike huko we are passing in this world nothing is permanent.

Mimi ni karma believer whatever man sows he shall reap
 
Back
Top Bottom