So Mvinyo na Bikira 72 watapata au hawapatiPepo ipi?
Yaani mtu/binadamu anamfuata shetani chumbani kwake, anamnyonga na kufia huko halafu unaamini mtu huyu anaenda mapumzikoni - peponi??? Really?
No way brother Pascal Mayalla.!!
Hao waliofia huko ni kwamba kama hawakupata fursa ya kutubu na kuingia ktk njia ya kweli na sahihi (i.e Yesu Kristo), basi shetani/ibilisi keshajivunia (harvested) mavuno yake na wanaingia kwenye pepo ya uharibifu na mateso ya milele maana imeandikwa mahali kuwa "baada ya kifo, ni hukumu'"
Huo siujuiSo Mvinyo na Bikira 72 watapata au hawapati
Toka nje ya box bro, achana na hizo imani za kumaliza ubongo wako. Hiyo suruali fupi na kobazi isikupe kiburi kuwa unamjua sana huyo Mungu.
"Mimi nimeandaa kwa ajili ya waja wangu waumini katika Pepo yangu ambayo hakuna jicho limeiona, wala sikio halijasikia, wala halijawahi kumjia mwanadamu kwenye akili yake." (Sahih Bukhari)So Mvinyo na Bikira 72 watapata au hawapati
Hizi ni hadithi za kitabu unachokiamini ww, ama unadhani Kila mtu anakiamini kama ww?Hapa nitatoa baadhi ya aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
- Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye sura ya umri wakiwa wakiyaketi kwa makochoko."
Aya hii inatoa picha ya anasa za peponi, ikiwa ni pamoja na mito inayotiririka, matunda, na vyakula vya kila aina ambavyo waumini watapata katika peponi.- Surat Ar-Rahman (Sura ya 55), Aya 54-56:
"Kila mmoja kati yao atakuwa na kile alicho nacho. Na Mola wako Mlezi atawawapa wao nini walicho zidi kuhisi. Na wao watakuwa na matunda na wanachagua."
Aya hizi zinaelezea kwamba Mwenyezi Mungu atawazidishia waumini wake kila wanachokitaka na wanachohisi, na watapata neema bila ukomo katika peponi.
Wewe huzitaki neema za Peponi!?Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
- Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye sura ya umri wakiwa wakiyaketi kwa makochoko."
Aya hii inatoa picha ya anasa za peponi, ikiwa ni pamoja na mito inayotiririka, matunda, na vyakula vya kila aina ambavyo waumini watapata katika peponi.- Surat Ar-Rahman (Sura ya 55), Aya 54-56:
"Kila mmoja kati yao atakuwa na kile alicho nacho. Na Mola wako Mlezi atawawapa wao nini walicho zidi kuhisi. Na wao watakuwa na matunda na wanachagua."
Aya hizi zinaelezea kwamba Mwenyezi Mungu atawazidishia waumini wake kila wanachokitaka na wanachohisi, na watapata neema bila ukomo katika peponi.
Kama Ukweli ndo huu hiyo Neema ya Peponi mnayodanganyana kaiona nani!?"Mimi nimeandaa kwa ajili ya waja wangu waumini katika Pepo yangu ambayo hakuna jicho limeiona, wala sikio halijasikia, wala halijawahi kumjia mwanadamu kwenye akili yake." (Sahih Bukhari)
Atapewa zile mnato hazijazibuliwa 72 ....eti mkulungwa.Anakwensa moja kwa moja peponi!.
P
Hahaa unapataje raha ukiwa mtumwa wa kiimani,kiutamaduni na kisiasa?kifungo kinachofurahiwa na watumwa!Uislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah [emoji23]
Yn umefanya ugaidi Weeeeee afu ukale bikra 72 Simple tuu hvy kisa umekufia hijja? Dah Uislamu raha sana
Huwa tunadanganywa vibaya,, Yaani uwe jambazi ukifia Pale tuuu Pepo Ni yako.maisha rahisi Saana Haya.Ujanja ujanja wa waarabu kujenga uchumi kupitia utalii.Kama Ukweli ndo huu hiyo Neema ya Peponi mnayodanganyana kaiona nani!?
Tumieni akili enyi watu mnaangamia Kwa ujinga
kwahiyo bikra 72 ni kwa wanaojilipua na kuua makafiri peke yao ?Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
- Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye sura ya umri wakiwa wakiyaketi kwa makochoko."
Aya hii inatoa picha ya anasa za peponi, ikiwa ni pamoja na mito inayotiririka, matunda, na vyakula vya kila aina ambavyo waumini watapata katika peponi.- Surat Ar-Rahman (Sura ya 55), Aya 54-56:
"Kila mmoja kati yao atakuwa na kile alicho nacho. Na Mola wako Mlezi atawawapa wao nini walicho zidi kuhisi. Na wao watakuwa na matunda na wanachagua."
Aya hizi zinaelezea kwamba Mwenyezi Mungu atawazidishia waumini wake kila wanachokitaka na wanachohisi, na watapata neema bila ukomo katika peponi.
Zamani kabla ya Uisilamu Mabedui wa Kiarabu walikuwa wakitoka sehemu mbalimbali za Jangwani kwenda kuhiji pale Makka.Heri tubaki na imani zetu za kuabudu milimani, mapangoni na chini ya miti kuliko hizo hadithi za kibiashara ili watu waende kwa wingi na kuacha maokoto huko
Kweli kabisa mkuu, kuna uhuni na usanii mwingi wa kulaghai na kuhadaa watu kuhusu hayo mawazo ya wachache walioyarasmisha na kuyaita dini ya haki.Zamani kabla ya Uisilamu Mabedui wa Kiarabu walikuwa wakitoka sehemu mbalimbali za Jangwani kwenda kuhiji pale Makka.
Hiyo ni kabla ya Muhamed na Fiksi zake.