Muislamu anayefariki Hijja

Mito ya mvinyo na mabikra 72 ipo haipo ?
 
Kweli kabisa mkuu, kuna uhuni na usanii mwingi wa kulaghai na kuhadaa watu kuhusu hayo mawazo ya wachache walioyarasmisha na kuyaita dini ya haki.
Msema kweli ndie kipenzi cha Mungu.
 
Reactions: K11
Uislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
Kuna shehe kalalamika huko kuwa hata baiskeLi hawana
 
Mungu alisha weka amri zake moyoni mwako. Amekupa uwezo wa kutambua baya na jema moyoni mwako. Hivyo uende kanisani usiende au uende mskitini usiende au uende Hijja usiende kinacho determine wewe kwenda peponi ni kile kilichopo moyoni mwako kwa wakati huo. Deal na kusafisha moyo wako hapo ndipo unaingia peponi. Acha kujidanganya kwamba ukienda kanisani, msikitini au Hijja ndipo unaingia peponi. Je kama umeenda huko na bado moyoni umebeba makorokoro utaingiaje peponi ukifa. Narudia tena MUNGU hawezi kukupokea na moyo uliobeba makorokoro.
 
Reactions: FWC
Ngamia anakufa
Mtu anafariki.
 
cha ajbu huamini theory lakini siku ya siku unakuta babu zako wananyakuliwa ktk dunia hii. hujiulizi wanaenda wapi?
unapokufa biashara yako imeishia hapo hapo hizo habari nyingine ni stori za kutafutia usingizi tu
 
Uislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
Kwani aliekulazimisha kutoa sadaka kanisa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…