Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Alafu ukikula Leo papuchi kesho inarudi bikra tenaAtapewa zile mnato hazijazibuliwa 72 ....eti mkulungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu ukikula Leo papuchi kesho inarudi bikra tenaAtapewa zile mnato hazijazibuliwa 72 ....eti mkulungwa.
Mito ya mvinyo na mabikra 72 ipo haipo ?Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
- Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye sura ya umri wakiwa wakiyaketi kwa makochoko."
Aya hii inatoa picha ya anasa za peponi, ikiwa ni pamoja na mito inayotiririka, matunda, na vyakula vya kila aina ambavyo waumini watapata katika peponi.- Surat Ar-Rahman (Sura ya 55), Aya 54-56:
"Kila mmoja kati yao atakuwa na kile alicho nacho. Na Mola wako Mlezi atawawapa wao nini walicho zidi kuhisi. Na wao watakuwa na matunda na wanachagua."
Aya hizi zinaelezea kwamba Mwenyezi Mungu atawazidishia waumini wake kila wanachokitaka na wanachohisi, na watapata neema bila ukomo katika peponi.
Msema kweli ndie kipenzi cha Mungu.Kweli kabisa mkuu, kuna uhuni na usanii mwingi wa kulaghai na kuhadaa watu kuhusu hayo mawazo ya wachache walioyarasmisha na kuyaita dini ya haki.
Fiksi tu.Mito ya mvinyo na mabikra 72 ipo haipo ?
HakikaMsema kweli ndie kipenzi cha Mungu.
Kuna shehe kalalamika huko kuwa hata baiskeLi hawanaUislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
Kubaaabanyeeeeee...... Ndio masnavwanajitoa mhanga .....kila siku unachakata malighafi mpya....Alafu ukikula Leo papuchi kesho inarudi bikra tena
Aliyekwambia kutoa Sadaka dini zingine lazima ni nani!??.....Kuna shehe kalalamika huko kuwa hata baiskeLi hawana
Hizi Stori huwa wanapigiwa Watoto ambao wamebalehe ili waache kujichua waende kwenye Jihadi.Mito ya mvinyo na mabikra 72 ipo haipo ?
Pepo za mabwegeUmewahi kuwaona wakiingia peponi?
Ngamia anakufaEndapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
- Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye sura ya umri wakiwa wakiyaketi kwa makochoko."
Aya hii inatoa picha ya anasa za peponi, ikiwa ni pamoja na mito inayotiririka, matunda, na vyakula vya kila aina ambavyo waumini watapata katika peponi.- Surat Ar-Rahman (Sura ya 55), Aya 54-56:
"Kila mmoja kati yao atakuwa na kile alicho nacho. Na Mola wako Mlezi atawawapa wao nini walicho zidi kuhisi. Na wao watakuwa na matunda na wanachagua."
Aya hizi zinaelezea kwamba Mwenyezi Mungu atawazidishia waumini wake kila wanachokitaka na wanachohisi, na watapata neema bila ukomo katika peponi.
Utatoa sadaka wakati huna?Uislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
unapokufa biashara yako imeishia hapo hapo hizo habari nyingine ni stori za kutafutia usingizi tucha ajbu huamini theory lakini siku ya siku unakuta babu zako wananyakuliwa ktk dunia hii. hujiulizi wanaenda wapi?
dah???. Kuna watu mpaka leo wanaakili za bandia?unapokufa biashara yako imeishia hapo hapo hizo habari nyingine ni stori za kutafutia usingizi tu
Wewe unayeamini huo utopolo ndiye una akili fake.dah???. Kuna watu mpaka leo wanaakili za bandia?
Dini ya kishirikina hiyoUislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
Kwani aliekulazimisha kutoa sadaka kanisa naniUislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine