hakuna Sehemu katika biblia imeandikwa kula nguruwe(japokuwa umeandika mguruwe)sio dhambi (japokuwa umeandika Zambi) ni kujichanganya kwa watu kuacha maandikoMi naona vyote ni upuuzi tu kwa sababu inashangaza sana eti
MUNGU alienda kwa waislam akawaambia andikeni kwenye quraan kuwa Nguruwe kula ni zambi ila kuoa mke zaidi ya mmoja ni halali tena huyo huyo Mungu kaenda kwa wakristo kuwaambia Kula mguruwe sio zambi ila kuoa zaidi ya mmoja ni zambi so dini ni ustaarabu wa kikundi fulani kilichokubariana kuishi mtindo fulani wa maisha kupitia kijitabu chao cha Muongozo ambacho ni kama katiba kwao.
Now adays kushokea hizi dini ni dalili ya utahira wa kizazi kipya coz hata ile style yetu ya kiAfrica ya kuabudu mizimu ilikuwa dini ila WAAFRICA tulivyo vichaa tukaambiwa na kuaminishwa kuwa ni ushirikina tukaachana navyo tukashobokea dini ngeni ambazo hata wao wameacha kuzishobokea huko.
Mimi nimeacha kujiumiza kichwa kuamini kama huyo Mungu yupo naishi life langu kwa kuzingatia sheria za nchi ili nisije kufungwa jela.
Vifungu Gani hivyo vinahalalisha hayo uliyoyaandikaMi naona vyote ni upuuzi tu kwa sababu inashangaza sana eti
MUNGU alienda kwa waislam akawaambia andikeni kwenye quraan kuwa Nguruwe kula ni zambi ila kuoa mke zaidi ya mmoja ni halali tena huyo huyo Mungu kaenda kwa wakristo kuwaambia Kula mguruwe sio zambi ila kuoa zaidi ya mmoja ni zambi so dini ni ustaarabu wa kikundi fulani kilichokubariana kuishi mtindo fulani wa maisha kupitia kijitabu chao cha Muongozo ambacho ni kama katiba kwao.
Now adays kushokea hizi dini ni dalili ya utahira wa kizazi kipya coz hata ile style yetu ya kiAfrica ya kuabudu mizimu ilikuwa dini ila WAAFRICA tulivyo vichaa tukaambiwa na kuaminishwa kuwa ni ushirikina tukaachana navyo tukashobokea dini ngeni ambazo hata wao wameacha kuzishobokea huko.
Mimi nimeacha kujiumiza kichwa kuamini kama huyo Mungu yupo naishi life langu kwa kuzingatia sheria za nchi ili nisije kufungwa jela.
Huyu mwenyezi Mungu kaandikwa wapi?Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu.
Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe.
Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu.
Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
Kumbe imeandikwa na naniHivi ni wapi umethibitisha kitabu cha Imani kimeandikwa na watu(hapa nakusudia Quran)?
yaani hao watu walikuwa na akili kiasi gani kuandika vitu vitakavyotokea miaka 1000-1500 inayokuja,ambavyo Leo hii hiyo akili wewe na wengine mmeikosa?
Kama hafahamu hata Yeye mwenyewe ana sahihi ya Mola?In the nature
embu wewe na wenzako andika kitabu chako mfano wa Quran,hata kurasa mbili ndio nijue kiliandikwa na watu kama weweKumbe imeandikwa na nani
Nature ni niniIn the nature
Hapo ukajiona jiniaziHata hujielewi
Kwani Mwenyezi Mungu anasemaje?Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu.