Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu.

Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe.

Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu.

Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
 
Mi naona vyote ni upuuzi tu kwa sababu inashangaza sana eti.

MUNGU alienda kwa waislam akawaambia andikeni kwenye quraan kuwa Nguruwe kula ni zambi ila kuoa mke zaidi ya mmoja ni halali tena huyo huyo Mungu kaenda kwa wakristo kuwaambia Kula mguruwe sio zambi ila kuoa zaidi ya mmoja ni zambi so dini ni ustaarabu wa kikundi fulani kilichokubariana kuishi mtindo fulani wa maisha kupitia kijitabu chao cha Muongozo ambacho ni kama katiba kwao.

Now adays kushokea hizi dini ni dalili ya utahira wa kizazi kipya coz hata ile style yetu ya kiAfrica ya kuabudu mizimu ilikuwa dini ila WAAFRICA tulivyo vichaa tukaambiwa na kuaminishwa kuwa ni ushirikina tukaachana navyo tukashobokea dini ngeni ambazo hata wao wameacha kuzishobokea huko.

Mimi nimeacha kujiumiza kichwa kuamini kama huyo Mungu yupo naishi life langu kwa kuzingatia sheria za nchi ili nisije kufungwa jela.
 
Mi naona vyote ni upuuzi tu kwa sababu inashangaza sana eti

hakuna Sehemu katika biblia imeandikwa kula nguruwe(japokuwa umeandika mguruwe)sio dhambi (japokuwa umeandika Zambi) ni kujichanganya kwa watu kuacha maandiko
 
Hivi ni wapi umethibitisha kitabu cha Imani kimeandikwa na watu(hapa nakusudia Quran)?
yaani hao watu walikuwa na akili kiasi gani kuandika vitu vitakavyotokea miaka 1000-1500 inayokuja,ambavyo Leo hii hiyo akili wewe na wengine mmeikosa?
 
Mi naona vyote ni upuuzi tu kwa sababu inashangaza sana eti
MUNGU alienda kwa waislam akawaambia andikeni kwenye quraan kuwa Nguruwe kula ni zambi ila kuoa mke zaidi ya mmoja ni halali tena huyo huyo Mungu kaenda kwa wakristo kuwaambia Kula mguruwe sio zambi ila kuoa zaidi ya mmoja ni zambi so dini ni ustaarabu wa kikundi fulani kilichokubariana kuishi mtindo fulani wa maisha kupitia kijitabu chao cha Muongozo ambacho ni kama katiba kwao.
Now adays kushokea hizi dini ni dalili ya utahira wa kizazi kipya coz hata ile style yetu ya kiAfrica ya kuabudu mizimu ilikuwa dini ila WAAFRICA tulivyo vichaa tukaambiwa na kuaminishwa kuwa ni ushirikina tukaachana navyo tukashobokea dini ngeni ambazo hata wao wameacha kuzishobokea huko.
Mimi nimeacha kujiumiza kichwa kuamini kama huyo Mungu yupo naishi life langu kwa kuzingatia sheria za nchi ili nisije kufungwa jela.
Vifungu Gani hivyo vinahalalisha hayo uliyoyaandika
 
Jifunze kwanza hivyo vitabu viliandikwaje then pitia upya Uzi wako
 
Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu.

Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe.

Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu.

Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
Huyu mwenyezi Mungu kaandikwa wapi?

Unaaminije yupo nje ya maandiko ya dini na imani?

Wewe hukupaswa kuamini kabisa kua Mungu yupo Acha kujichanhanya kwa kufosi kisichowezekana.

Kwamba Mungu Bila vitabu vya dini inawezekana?

Unaweza nithibitishia uwepo WA Mungu nje ya dini vitabu hivyo

Kuwa neutral kama Kiranga
 
Hivi ni wapi umethibitisha kitabu cha Imani kimeandikwa na watu(hapa nakusudia Quran)?
yaani hao watu walikuwa na akili kiasi gani kuandika vitu vitakavyotokea miaka 1000-1500 inayokuja,ambavyo Leo hii hiyo akili wewe na wengine mmeikosa?
Kumbe imeandikwa na nani
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Dini ni mpango wa mwanadamu kuelewa uwepo wa nguvu chanzi...kubishania dini ni ushamba wa akili zilizitiluwa "opium"
Ni kama mabasi tu yanayoelekea mahali fulani unaweza ukachagua la kupanda ila ni vizuri uwe una nauli na unakuwa unapokwenda ova.
 
Yaani msingi wa dini unazozungumzia ni vitabu alafu utumie akili? Yaani ukianza kuwaza namna hii jitoe kwenye dini yoyote uwe mpagani
 
Hata hujielewi
 
Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu.

Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe.

Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu.

Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
Kwani Mwenyezi Mungu anasemaje?
 
Back
Top Bottom