Mukoko Tonombe kutua Simba?

Tatzo la yanga si wa kweli kama ilivyotokea kwa morrison na shishimbi
 
Yaani Simba Yanga kumgusa Chama wanalalamika,huu mpira ni biashara inawezeka Simba mkawa mmebugi kwenye mkataba kama Yanga walivyo bugi kwa Morrison ,waka tumia udhaifu wenu kumpata Chama ila kwa habari za ndani kabisa kuna asilimia kubwa Chama akatua Yanga,ila hili la Mukoko kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu wa Simba ni uongo.
 
Kwa nini la chama na yanga liwe kweli na la simba na mukoko lisiwe kweli?
 
Ndio hawakupata sasa hizo goli tatu...
Hans pope ni psychologist pia, anajua kusoma na kucheza na akili za watu na kutumia fursa hiyo watu wakiwa ktk mhadaiko, bila shaka hapa hata wewe ni muathirika wa kuongizwa cha kike na ans pope siku alipotoa hiyo kauli mpaka leo
 
Ile Lugha ya kimchezo kabisa,kama kiongozi ukihisi kuna matatizo mnamaliza ndani kwa ndani lugha aliyoitumia inawavunja moyo wachezaji.

Zama zimebadilika Yanga ya jana na ya leo ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…