Je umejifunza nini kupitia Hadithi hii fupi?😊😀Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala wote wakawa wanagombea kutaka nafasi ya kupiga penalti.
View attachment 3468158
Hivyo nahodha wao Khalid Aucho akaingilia kati na akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Okello apige penati, Okello alifunga penalti hiyo. Na baadaye Ssemugabi kufunga goli la pili dakikanya 39. Mukwala alitolewa dakika ya 69 ya mchezo.
Je umejifunza nini kupitia Hadithi hii fupi?
Mtoto ulieavyo ndivyo akuavyo! Mukwala kazoezwa penalty huko anakochezaJe umejifunza nini kupitia Hadithi hii fupi?😊😀
Hiyo ni kawaida tu , cr7 na Bruno walishawahiMambo ya aibu sana kwa mchezaji kulazimisha kupiga penati. Na mara nyingi watu wa aina yake ukiwaruhusu wapige, huishia tu kukosa.
Uwezo wako kiakili ndio umeishia hapo bwa mdogoTimu aliyotokea wamezoezwa Penati sana. Hii imemuathiri kisaikolojia
SawaUwezo wako kiakili ndio umeishia hapo bwa mdogo
Hivi neymar na cavan walicheza team ganiHiyo ni kawaida tu , cr7 na Bruno walishawahi
Neymar na cavan , kwenye mpira ni tukio la kawaida kama wewe ni mtu wa kupenda mpira utakua umeshaona mengi tu
PSGHivi neymar na cavan walicheza team gani