aisee mkuu nyie ni wafupi!!! hahahaaaa!!! lekadutigite!!
Unauhakika? Njoo ujipime urefu kwangu au lete unayeona ndio mrefu kwenu aje ajipime urefu na mimi kama hujaona kuwa wewe ni mfupi. By the way urefu au ufupi inafaida gani kwenye maisha? Think.
we mrundi au
hamuna mwenewachu mvuze twibhuke muhila,tugambe chi-muhila ndiyo maana mvuze tusubhile yotwavuye
hahahaaa!! mkuu mbona unapanik bana?
actually, nna mpango wa kuja kgt kuanza biznez ya mawese.. upogo huko?
Why panic. Najaribu kufikiria kama kweli wote tuna kazi za kufanya?
kwanini? umesahau kwamba kuna sababu za kumfanya mtu asiwe na kazi au awe nje ya kazi?
Tatizo watu hadhani kazi ni ile ya ofisini tu au business. Kwani ukichukua vifaa ukaanza kuzibua mitaro ya maji machafu iliyoziba na adha ya hizi mvua, sio kazi?
ukitukanwa kwa lugha usioijua ni sawa na kusikia sauti za honi kariakoo.hapa katukanwa mtu....