Mulimwo?

Mulimwo?

aisee mkuu nyie ni wafupi!!! hahahaaaa!!! lekadutigite!!

Unauhakika? Njoo ujipime urefu kwangu au lete unayeona ndio mrefu kwenu aje ajipime urefu na mimi kama hujaona kuwa wewe ni mfupi. By the way urefu au ufupi inafaida gani kwenye maisha? Think.
 
hahahaaa!! mkuu mbona unapanik bana?

actually, nna mpango wa kuja kgt kuanza biznez ya mawese.. upogo huko?
 
Why panic. Najaribu kufikiria kama kweli wote tuna kazi za kufanya?
 
kwanini? umesahau kwamba kuna sababu za kumfanya mtu asiwe na kazi au awe nje ya kazi?

Tatizo watu hadhani kazi ni ile ya ofisini tu au business. Kwani ukichukua vifaa ukaanza kuzibua mitaro ya maji machafu iliyoziba na adha ya hizi mvua, sio kazi?
 
ishu ya msingi ni income inayokuridhisha wewe na wanaokutegemea and some for serving... ukidharau kazi..
 
Back
Top Bottom