Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho kutishia wananchi na kufanya matukio mengine ya kihalifu.
Pia, Soma: News Alert: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta
Kamanda Muliro ameyasema hayo leo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa Jambo TV juu ya uwepo wa matukio ya watu kutekwa ambayo yamepelekea wananchi kuwa na hofu.