Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Yes! Ni kauli thabiti wakati huuHii ndio hoja, lakini si kutishatisha watu wanaoshughulikia watekaji
Na atuambie waliomteka na kumlisha sumu Nondo ni akina naniYes! Ni kauli thabiti wakati huu
mada ifungweHii ndio hoja, lakini si kutishatisha watu wanaoshughulikia watekaji
Hao wanaotenda ushetani wa kuwateka watu huku wakijitambulisha ni Polisi, wanafahamika sana. Hata kamanda Muliro anawafahamu sana. Hao ni wale waliotengenezewa sheria ya kulindwa hata kama wakifanya uovu dhidi ya raia, na wanajifanya wapo juu ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama, kwa sababu wanaripoti moja kwa moja ofisi kuu.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho kutishia wananchi na kufanya matukio mengine ya kihalifu.
Pia, Soma: News Alert: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta
Kamanda Muliro ameyasema hayo leo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa Jambo TV juu ya uwepo wa matukio ya watu kutekwa ambayo yamepelekea wananchi kuwa na hofu.
View attachment 3171317
Kama ataitekeleza kwa vitendo na bila kubagua lakiniHii ndio hoja, lakini si kutishatisha watu wanaoshughulikia watekaji
Atueleze waliomuua Kibao.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho kutishia wananchi na kufanya matukio mengine ya kihalifu.
Pia, Soma: News Alert: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta
Kamanda Muliro ameyasema hayo leo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa Jambo TV juu ya uwepo wa matukio ya watu kutekwa ambayo yamepelekea wananchi kuwa na hofu.
View attachment 3171317
Amejibu ili muda upite au anamaanisha?Baadaye asikane maneno yake.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho kutishia wananchi na kufanya matukio mengine ya kihalifu.
Pia, Soma: News Alert: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta
Kamanda Muliro ameyasema hayo leo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa Jambo TV juu ya uwepo wa matukio ya watu kutekwa ambayo yamepelekea wananchi kuwa na hofu.
View attachment 3171317
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofautiKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho kutishia wananchi na kufanya matukio mengine ya kihalifu.