Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea.
Muliro ni shabiki wa hio timu sasa atawezaje kuwakamata mashabiki wenziwe?.🤣🤣Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa vit
[emoji23][emoji23][emoji23]Kamanda anachekesha kama hatoki kwenu
Hiyo timu ng'oa viti FC watakuwa ni Chadomo tuKamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea.