Halafu wakazifanyie nini [emoji23]Wanajeshi hua naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetisha bossWazo zuri Sana ,Kwa kuongezea nilikuwa napendekeza pia mfunge Bluetooth speaker ili
1. Watuhumiwa na maaskari wawe wanaburudika wakati wa mizunguko,
2. Mtuhumiwa kuingia sell bila msongo wa mawazo, hii itarahisisha hata kutoa maelezo akili ikiwa imetulia..
Imagine umefungulia reggae au amapiano [emoji16]
Af kweli, nuksi hzoKisa cha kujitia nuksi? [emoji23]
Wakikuona Mshana Jr kwenye difender ya police watazusha mengi, watasema umekamatwa kwa ulozi, au uzinzi, wizi, wasiokupenda wanaweza kudai wewe ni panya road. Kumbe umeomba lifti Chalinze kwenda Msata kilingeni.Kisa cha kujitia nuksi? [emoji23]
Wanapelekea watoto wao au ndugu zaoHalafu wakazifanyie nini [emoji23]